Sekretarieti ya ajira na serikali angalieni hili

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
Binafsi nachukua nafasi hii kuipongeza serikali ya JMTZ kwa kuanzisha sekretarieti ya ajira ambayo kwa kiasi kikubwa imepunguza matatizo mengi yaliyokuwa yamegubika katika sekta ya ajira hapa nchini kwetu.

1.Napenda kushauri sekretarieti hiyo ijaribu kuangalia uwezekeno wa kujigawa kikanda na sahili zifanyike katika kanda kulingana na jografia ya nchi yetu ili kuwaepushia vijana gharama kubwa na safari ndefu za kwenda Dar es salam kufanya usahili.

2.Napenda uishauri pia tume hiyo kuwa kwa upande wa utumaji wa maombi ya ajira, pangetengenzwa mfumo wa kompyuta ili kuwawezesha waombaji kujisajili na kutuma maombi yao kupitia mtandao kwani kwa sasa wataalamu wa IT wapo wengi hivyo ni kitu kirahisi sana kuwa na mfumo wa aina hiyo. ikionekana kuwa wazo ilo linafaa hata mimi binafsi nipo tayari kujitolea kuandaa mfumo huu ambao utawasaidia waomboaji wengi
 
mapendekezo yako ni mazuri lakini pendekezo la pili linaweza lisikubalike kwa sababu PSRS ni chombo cha serikali na serikali imeona posta inakufa hivyo inawatumia hawa ili posta iendelee kuwepo
 
wazo nzuri, kaweke pia na kwenye web yao kule. ila hilo la pili linasaidia shirika la posta kuwa bize kidogo.
 
Binafsi nachukua nafasi hii kuipongeza serikali ya JMTZ kwa kuanzisha sekretarieti ya ajira ambayo kwa kiasi kikubwa imepunguza matatizo mengi yaliyokuwa yamegubika katika sekta ya ajira hapa nchini kwetu.

1.Napenda kushauri sekretarieti hiyo ijaribu kuangalia uwezekeno wa kujigawa kikanda na sahili zifanyike katika kanda kulingana na jografia ya nchi yetu ili kuwaepushia vijana gharama kubwa na safari ndefu za kwenda Dar es salam kufanya usahili.

2.Napenda uishauri pia tume hiyo kuwa kwa upande wa utumaji wa maombi ya ajira, pangetengenzwa mfumo wa kompyuta ili kuwawezesha waombaji kujisajili na kutuma maombi yao kupitia mtandao kwani kwa sasa wataalamu wa IT wapo wengi hivyo ni kitu kirahisi sana kuwa na mfumo wa aina hiyo. ikionekana kuwa wazo ilo linafaa hata mimi binafsi nipo tayari kujitolea kuandaa mfumo huu ambao utawasaidia waomboaji wengi
Mawazo yako ni mazuri sana kusema ule ukweli maana its nonsese mtu unamtoa kule Kasulu tena kijijini mpakani na Burundi kule Mnanila anakuja Dar kufanya interview ya written Dar lakini wangegawa kikanda mfano kanda ya Nyanda za juu kusini wakakutanikia Mbeya, kanda ya kati wakakutania Tabora, Mshariki tukakutania hapahapa Dar etc etc na siyo kusema haiwezekani,inawezakana sana ila watu wetu ni wavivu sana na wanataka kupata par diem zao wakiwa hapahapa Dar.
Hii nyingine ya online bada sana kwa Tanzania yetu hasa kwa ma HR yaani maHR wetu wanakutana na computer makazini kwa hiyo hawajui computer hata kidogo,mfano mzuri kwa mfano kama ikitokea wakatengeneza tangazo la kazi ambalo watataka applicants watumie email address na sanduku la posta nakuambia kama upo serious wewe tumia box address tu maana nakuambia zinazotumwa kwa email hazisomwi zaidi ya tano.Lakini pia wewe usifikiri kuona watu wanaposti kwenye facebook,instagram na twita ukafikiri eti hiyo ndiyo computer thubutu yako.In short HR wengi matumizi ya computer ni baba mkwe ndiyo maana wakiwa tu na shida ya computer yaani wanapanic mpaka jasho linawatoka
 
Mkuu ni Munanila sio Mnanila, na pia hapo ni karibu sana kwani anapanda mchomoko hadi kigoma au kasulu kwa buku 4 tu. sema mtu anatokea Kitanga au Kajana kwenda dar written, kisha anarudi anaenda tena oral nafasi moja watu 200, si hatari.
 
Hilo ombi lako la pili linakuja mkuu wanalifanyia testing nafikiri kama ulifatilia sabasaba walielezea huo mfumo kwamba unakuja kwahio itatumika yote ukitaka unaapply online au unatuma hard copy
 
Mkuu ni Munanila sio Mnanila, na pia hapo ni karibu sana kwani anapanda mchomoko hadi kigoma au kasulu kwa buku 4 tu. sema mtu anatokea Kitanga au Kajana kwenda dar written, kisha anarudi anaenda tena oral nafasi moja watu 200, si hatari.

Du asante sana kwa ufafanuzi ndugu yangu si unajua tena hizo sehemu za kupita mara moja kwa miaka kumi inakuwa issue.Haya sasa kuna ndugu yangu yupo Heru juu alikuja kupiga written 05/07/2014 sasa imagine angekuwa hana ndugu alieko Dar angeishi vipi maana alitakiwa kusubiri majibu ya oral ambayo nafasi ilikuwa moja na walioitwa kwa ajili ya written walikuwa 176 sasa majibu yalivotoka tarehe 07/07/2014 tena jioni sana akajikuta hayumo sasa anatafuta basi la Adventure arudi tena Kasulu huko kujipanga.Ajira kweli hapa Tanzania imekuwa time ticking bomb. Hawa jamaa wa Secretariat ya ajira sijajua akili zao nani aliziroga na aliwaroga atakuwa ni mchawi wa kule Katonga ama Kamara maana wale ndiyo naskia wakikupa kitu unakufa huku ukiwa unatembea then wanakupeleka kuvua dagaa, bora wawapeleke na hawa wapuuzi wa secretariat wakavue dagaa tujilie
 
Mwaka wa kwanza kabisa tume ilivyoanzishwa (2010) kulikuwa na kanda sijui kwa nini waliondoa huo utaratibu
 
Waliona perdiem zao zitakatwa kwa hiyo kila kitu Dar tena Jmosi
 
Back
Top Bottom