Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari, hivi ukituma maombi kufanya online application + hard copies kupitia posta au kupeleka kwa mkono( two in one) ni sawa?
1 Reactions
16 Replies
4K Views
An independent consulting firm is looking for a highly QUALIFIED and EXPERIENCED person in the area of Gender and Development. You should have conducted some research studies and project...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiukweli wote wanavigezo na wanapiga kazi ile mbaya..., ngoja tu nikawe wa 8..., its a family bussiness..
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi nipo Dar es salaam. Kwa sasa nipo ARI SECONDARY SCHOOL(ILALA), kama mwalimu wa physics and mathematics ila mkataba wangu unaisha mwezi wa nane. Na pia nina SHAHADA YA Information...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mimi ni kijana nisiekuwa na ajira ila Nina ujuzi wa kutengeneza simu; tatz pesa ya frem ndo cna;saa ombi Langu mtu yyte mwenye kibanda au hata kibalazan au ili niweze kuweka vitendea kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu ni wengi sana na bado wanazidi kuja, kama ni mechi basi ni sawa na wale wanaoingia katika mechi za simba/yanga wanapocheza na timu za mikoani. Ulinzi naona ni jukumu la askari magereza...
7 Reactions
352 Replies
53K Views
Eti wana jf...mwezi Wa 4 CMSA walitoa nafasi ya financial analysit...sasa tunaenda mwezi 4 jamaa kimya...kuna yeyote mwenye up dates ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, anahitajika msichana aliyesomea mambo ya Secretarial kwa ajili ya kusimamia Stationery na Internet Cafe Sifa za Mwombaji: 1.Awe ni Mkazi wa Arusha Mjini 2. Awe amesomea na Kuhitimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari yenu ndugu wana JF?mimi ni kijana nliemaliza chuo mwaka 2011 BA IN PUBLIC ADMINISTRATION, ninaomba mtu yeyote yule anaye weza nisaidia mawazo au kunipatia kazi yeyote ile kwani nipo tayali...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wanajamvi nasikitika kuwa Console cable imenikosesha kazi,eGA. Kila niki-connect hiyo cable btn router & pc as required,inakataa kupeak router informations,ikiwa imebaki 20min to time ndo...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
While the New Zealand Immigration Service (NZIS) looks favourably on those who already have a job offer in New Zealand in a skilled profession, it is not a requirement to qualify for migration...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau nisaidieni! Hivi naweza kuipata salary slip ya mshahara wa mwezi July mara tu mshahara utakapotoka?....
0 Reactions
7 Replies
4K Views
We are an American restaurant in Dar looking for an intelligent,experienced and aggressive sandwich maker. He should have experience in food service or the hotel industry. Duties will...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau eti zile nafasi za security officer Tanesco Power Plant Ubungo zilizotangazwa December wametoa kwenye gazeti gani? mwenye shortlisted naomba aweke majina ya walioitwa kuna baadhi ya watu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu kama mnakumbuka kama mwezi April hawa TBS walitangaza nafasi za kazi lakini hadi leo website yao inaonyesha matangazo ya mwezi May inamaana ndo wametuchinjia baharini au tusubiri? Mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Source Mtanzania ya leo. MAJINA YA WANAOITWA KAZINI KONSTEBO WA UHAMIAJI S.N JINA 1 ALEXANDER S. RWEYEMAMU 2 ALI PEREIRA AME 3 ALLY HAMED SALUM 4 ALLY SHAAME ALLY 5 AMINA M. AMIRI...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Asalaam aleikum wakuu, natafuta fundi rangi kwa ajili ya kupaka rangi kuta za nyumba kwa bei nafuu nyumba ipo Ubungo riverside, kibangu. Huyo fundi awe maeneo ya karibu na ubungo na anatakiwa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wanajamvi Kampuni tajwa hapo juu wamenipigia simu kuniita kwenye interview . Kwa yeyote mwenye taarifa hebu tujuzane
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Kwa anaehitaji fundi wa water supply system and drainage (plumbering) na umeme kwenye nyumba na hotelini,kwa kuchora ramani na kufanya installation. Wasiliana nami kwa namba 0764775354...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi nilifanya written intrv tarehe 23 May pale chuo cha Tanesco city centre, na leo mida ya saa kumi na nusu wakati nipo mazoezini nimepigiwa simu kuwa nahitajika kwenye written interview...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom