Uhamiaji wamejibu koplo na konstebo

mgonjwa

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
514
223
Source Mtanzania ya leo.


MAJINA YA WANAOITWA KAZINI


KONSTEBO WA UHAMIAJI

S.N JINA

1 ALEXANDER S. RWEYEMAMU

2 ALI PEREIRA AME

3 ALLY HAMED SALUM

4 ALLY SHAAME ALLY

5 AMINA M. AMIRI

6 AMINA MILIMBA

7 ANDREW THADEUS BENDERA

8 ANTONY ARTHUR

9 ANUARY OMARY SALIM

10 ARAPHA A. RUSHEKE

11 ARAPHAT YASSIN

12 AROSE N. SHUMA

13 ASENATH MASSARO

14 ASHA ABEID GUMBO

15 BARAKA E. MWANJABALA

16 BASILI LUCIAN JOHN

17 BATULI M. LUMAMBO

18 BEATUS KANDEGE

19 BENSON G. GODWELL

20 BONAVENTURA A. BETI

21 CALVIN STANLEY MUNISI

22 CATHERINE J. MAPUNDA

23 CELINA G. LYIMO

24 CHARLES F. KINGOTO

25 DEOGRATUS MUTASHOBYA

26 DORCA M. NDEGE

27 ELIZABETH EDWARD

28 ELIZABETH EMMANUEL LEMA

29 ESTER N. MAHIRANE

30 FATMA JUMA ABDALLAH

31 FETEH MOH'D JUMA

32 FLORA MUSSA MAGORI

33 FRANK A. JEREMIAH

34 FRANK G. KAJURA

35 FREDRICK LEONARD KOWERO

36 FURAHA ISAYA

37 GABRIEL A. MWALUSAMBA

38 HAFSA MUSSA MAKANGE

39 HAMAD HEMED MBARAKA

40 HASSAN MUHSIN

41 HUSSEIN H. IDDY

42 JACOB DANDA

43 JACOB P. ULUNGI

44 JAMES MOGHA

45 JANETH JAMES MILLINGA

46 JANETH JOHN KINONGO

47 JANETH R. LUKUWI

48 JOSEPH N. YONDANI

49 JOSEPHINE LUCAS MWITWA

50 JUMA J. SALUM

51 JUSTINIAN P. KYETEMA

52 KAMBOLE IDD BALOZI

53 KARIM SALOM CHUO

54 KARUSI RAPHAEL MASINDE

55 KASSIAN MILINGA

56 KHAMISI R. SIMBA

57 LAURENT JULIUS BATAO

58 LEILA KHATIB IROVYA

59 LEONIDER SAMWEL ELITUMAINI

60 LILIAN ROBERT LYIMO

61 LINDA OSCAR MROKI

62 LUCAS NGASA

63 LUCIA ABIHUDI KASONDE

64 LUCIA COSTANTINE NGONG'HO

65 LUCIAN F. MLULA

66 LUCY REGINALD MOSHA

67 MAJABU J. SEKULU

68 MARIAM HAMISI

69 MARIAM JUMA BHALLO

70 MARIAM M. KIMAMBO

71 MARY L. JOSEPH

72 MARYAM ALI HAJI

73 MISSANA B. MACHUMU

74 MWAMVUA ABDALLAH KITONGE

75 MWANAIDI SALIM JUMA

76 NEEMA KASSIANO LUKOS

77 OLIVER ARBOGASTI TARIMO

78 PASCHALIA E. MWENDA

79 PATRICK Z. NGUNDA

80 PENDO DAUD GAMBADU

81 PRAISE MSAFIRI JACKSON

82 REHEMA SALUM RUBEA

83 RICHARD JEREMIA

84 SADRU MOHAMED PANDU

85 SALMA A. LIPAPA

86 SALUM KH. SALUM

87 SALVIN SIPENDEKI

88 SARAH WILLIAM KAFUKO

89 SAULO REUBEN

90 SELESIUSI SWITBERT

91 SITI JUMA MZOME

92 SUBIRA M. MWAIPOPO

93 SUNDAY J. JULIUS

94 THERESIA ERNEST KALUNDE

95 TYNESS N. NDABISE

96 UPILE LUCAS LUKUMBO

97 VERONICA G. VITALIS

98 VICTOR G. MLAY

99 WILLIAM S. MWANGOSI

100 ZENAIDA MUSA


MAJINA YA WANAOITWA KAZINI

KOPLO WA UHAMIAJI


SN. JINA

1 ABDUL-AZIZ AME HILAL

2 ABDULHAQ AMIN MANDEMLA

3 ALAIS MATHAYO

4 ALFRED MARKO

5 ALICE KALULU

6 ALPHONCE A. KISHE

7 AMBELE KAINI MWAKALIRU

8 ARISTIDES PASTORY

9 ASHA A. MAGALU

10 ASHA BURHAN IDDI

11 ASHA MABROUK

12 BATHROMEO MGAYA

13 BEATRICE C. MALUNDA

14 BEATRICE TEMBA

15 CLARA KATENGA

16 DANIEL NDYEKOBORA

17 DOREEN MAJUMBU

18 DORIS ALBAN MOSHI

19 DORIS DIONIS NGALAMIKA

20 EDWARD MLINGA

21 EGIDIUS KESSY

22 ELIAS MAFURU

23 ELIBARIKI YUSTO MNG'HANI

24 EMMANUEL BERNARD SAMBA

25 ERICK MTENGELE

26 ESTER S. CHUSI

27 FANUEL JOHN

28 FARAJI KIBALULA

29 FRANCIS HAULE

30 FRANCIS MAHU JULIUS

31 FRANK H. MWAKALEBELA

32 GEOFREY JUSTINE MHAGAMA

33 GERALD V. NASALEDIA

34 GLORY MAKURU

35 GRACE M. SINKONDE

36 HAJI ALI SHAMTE

37 HAMZA M. CHUNUNG'A

38 HAPPY MATSON MERERE

39 HAWA SALUM IBRAHIM

40 HERBERT YOHANA KINGU

41 HERI MMARI

42 HERMAN FIDEL NTUNWA

43 HYNES LAMECK

44 IDDI O. TOFIKI

45 IGINGA DANIEL MGENDI

46 ISSACK MICHAEL MAKWINYA

47 JACKLINE MWENDA LUANDA

48 JASINTA LALIKA

49 JAZILA AMANI

50 JOHARI ALLY KIANGIO

51 JOHARI HARUNA

52 JOHN ALFRED MUNGULU

53 JOSEPH A. MILAMBO

54 JOSEPH ASAPH MPUMILWA

55 JOSEPH JOHN KIMOLO

56 JOSEPHAT M. JEREMIAH

57 JOSHUA MHOJA

58 JULIANA RICHARD MUNUO

59 JUMA MICHAEL SHIJA

60 LEONARD KALOTO

61 MAIMUNA FADHILI PAZI

62 MARGRETH M. MABULA

63 MARTIN SIWINGWA

64 MARY ASTON KAJIGILI

65 MASENZA S. MAKANIKA

66 MERCY JOELLY MUNISI

67 MICHAEL J. CHOMA

68 MICHAEL JOHN TARIMO

69 MUHAZA A. NDAMUNGU

70 MUSLIM SHAWEJI NABABU

71 NANCY ROBERT

72 NASEKILE JOB MIKA

73 NASRI MOHAMED

74 NGALULA NGELELA

75 PAUL JOHN

76 PEACE K. GRESMO

77 PHILIPO HAULE

78 RAHMA HAMID AMEIR

79 RAMADHAN ALLY TUFFI

80 RAYMOND E. ZANGA

81 REHEMA A. NGANYAGE

82 RICHARD A. KINYAGA

83 ROBERT JUSTINE MATEZA

84 ROSE T. SICHILIMA

85 ROWLAND ALCUIN GUVETTE

86 SAADI MLAWA

87 SAID A. BERENGE

88 SARAH JOSEPH GOLIAMA

89 SELESTINE KITAMA MNARA

90 SHABANI AHMEDI

91 SHIMBA H. ZAKAYO

92 SOPHIA CHAWALA

93 STEPHANIA V. T. MAPANDA

94 TECLA NDUNGURU

95 UPENDO E. MGONJA

96 VAILETH A. KIDESU

97 VALENTINE PATRICK KYABULA

98 VINCENT NDUNGURU

99 WILLIAM J. NDONDOLE

100 ZAITUN S. CHANDE

Tangazo hili limetolewa na

KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI

Unaweza kupata tangazo hili pia kupitia www.moha.go.tz
 
Naumia sana maana tumefanya interview na rafiki zangu niliosoma nae chuo, wote hatujaona majina yetu..basi bwana Dunia haina haki maisha bila uhamiaji inawezekana, kibaya zaidi majina yenyewe mapya kabisa hata yalipotokea sijui!! Sahv ndio naielewa vizuri serikali iko vipi
 
Naumia sana maana tumefanya interview na rafiki zangu niliosoma nae chuo, wote hatujaona majina yetu..basi bwana Dunia haina haki maisha bila uhamiaji inawezekana, kibaya zaidi majina yenyewe mapya kabisa hata yalipotokea sijui!! Sahv ndio naielewa vizuri serikali iko vipi

Yaani tangu uombe uhamiaji ukazishisha harakati zingine zoooooooooote....ukitegemea huko tu.....Pole life halitafutwi hivyo mdogo wangu.
 
mimi sijahonga jina langu lilikuwepo kwenye usahili ila mi nahisi inategemea na interview ilikuaje upande wako maana kila tarehe na maswali yake, ni bahati tu na kumshukuru Mungu.
 
Ahaaaaa nawahurumia sana watu wenye too much expectations ktk job.. While nyie siyo mliocreate hzo opportunities...
 
Jamani uhamiaji wameita watu kazini mlioomba angalieni majina .
 
Sio wameita watu kazini,wameita watu kwenda kwenye mafunzo ya ukakamavu.Wakimaliza mafunzo ndipo watapatiwa ajira.
 
Tangazo ni kuitwa kazini wewe !!

Ni kazi kwa maana kwamba mshahara wako utaanza siku unareport na kusaini forms za ajira, ila hapo depo inahusika sasa wewe mgonjwa sijui itakuaje. Laiti Kamishna angejua ID yako hakyamungu asingekuita!
 
Naumia sana maana tumefanya interview na rafiki zangu niliosoma nae chuo, wote hatujaona majina yetu..basi bwana Dunia haina haki maisha bila uhamiaji inawezekana, kibaya zaidi majina yenyewe mapya kabisa hata yalipotokea sijui!! Sahv ndio naielewa vizuri serikali iko vipi

kaka kubar matokeo jipange upya ila sio uanze lawama za uongo hapo majina yote mapya how? ulikua unayajua majina yote na ukayashija kichwani? au ndio maneno ya mkosaji.
 
Naumia sana maana tumefanya interview na rafiki zangu niliosoma nae chuo, wote hatujaona majina yetu..basi bwana Dunia haina haki maisha bila uhamiaji inawezekana, kibaya zaidi majina yenyewe mapya kabisa hata yalipotokea sijui!! Sahv ndio naielewa vizuri serikali iko vipi

We acha ku2danganya, majina yale yale
Afu we ni mashne ukumbke wote?
Afu mbna mi sijapata na jina lilitoka tangu mchujo wa kwanza lakn kuna rafk yang yy kaenda
Sikatai kuna upendleo lakn kwenye ukwel 2seme tu ukwel
 
watu bhana,,umekosa umekosa tu,visingizio kibao...sio lazma wote mpate,ukichemka jipange upya...kuna watu hapo nawajua wamepata na tokea mwanzo wapo kwenye mchakato.....jipange lawama haikusaidii
 
Naumia sana maana tumefanya interview na rafiki zangu niliosoma nae chuo, wote hatujaona majina yetu..basi bwana Dunia haina haki maisha bila uhamiaji inawezekana, kibaya zaidi majina yenyewe mapya kabisa hata yalipotokea sijui!! Sahv ndio naielewa vizuri serikali iko vipi
Ungepata kazi ungeongea haya yote?

By the way, unaposema majina mapya una maanisha nini? kwamba hawakuwa interviewed bali wamepachikwa?

Mimi mbona sikuwemo kati ya watu elfu 10 lakini nimepiga kimya, mkuu sio lazima wooote tuajiriwe, nafasi zenyewe hizo, watu lukuki.... agree to disagree bwana...
 
Jamani msisahau mnatakiwa kuripoti tarehe 06/08/2014 (koplo na konstebo) katika makao makuu ya uhamiaji pale kurasini.njoo na vyeti halisi vya masomo pia usisahau cheti cha kuzaliwa ni muhimu sana..hii ni maalumu kwa wale ambao hawajaona gazeti..baada ya hapo ni kwenda kupiga fatic kule ccp..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom