Fursa kwa fundi rangi ya nyumba

kayimukaa

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
483
636
Asalaam aleikum wakuu, natafuta fundi rangi kwa ajili ya kupaka rangi kuta za nyumba kwa bei nafuu nyumba ipo Ubungo riverside, kibangu. Huyo fundi awe maeneo ya karibu na ubungo na anatakiwa haraka sana.

Kwa aliye tayari, naomba ani pm namba zake kwa mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukrani..
 
waelykum salaam warahmattullah wabarakattu,utakapohitaji fundi wa umeme tuwasiliane-0718302132
 
Back
Top Bottom