Kuitwa Interview Viettel

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,970
6,760
Habari wanajamvi

Kampuni tajwa hapo juu wamenipigia simu kuniita kwenye interview . Kwa yeyote mwenye taarifa hebu tujuzane
 
1. How did u apply the post?
2. wana webste?
3. wana physical address?
 
Brother unatipigwa. Watu kibao walikua na doubt na hiyo "kampuni tajwa"
 
Basically kuna mtihanu wa kufanya, una section 3, IQ, Ms Office na Technical, ila maswali ya IQ yamekaa vibaya.
 
Na kile kilugha chao, unaweza jikuta umeclick cancel badala ya submit...hata baadhi ya wasimamizi hawaelewi

Unajua hawa jamaa ni raia wa vietnam so wameona waweke mule lugha yao,tatizo hatujui wanataka mtu upate ngapi ili upite
 
Back
Top Bottom