Call for interview Tanesco - hro trainee

Undisputed

Member
Nov 8, 2013
40
11
Wanajamvi nilifanya written intrv tarehe 23 May pale chuo cha Tanesco city centre, na leo mida ya saa kumi na nusu wakati nipo mazoezini nimepigiwa simu kuwa nahitajika kwenye written interview nyingine itakayofanyika Tanesco Mikocheni.

Tatizo ni kwamba nimesahau siku kwani nilikuwa nakimbia kupunguza kitambi so wakati naongea na simu nilisikia kama Alhamisi but kwenye notes nimeandika j5.

Hapa napata utata kwani nimejarb kuwapigia hawapokei. Naombeni msaada wanajamvi kwa mtu aliyeitwa pia anisaidie ni j5 au alhamisi, saa tatu asubuhi?

Nawasilisha
 
Cha msingi nenda jumatano kwanza, kama hamna kitu, rudi tena alhamisi. Easy

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Ushauri huo unamfaa jobless lakini kama yupo kazini lazima ajitahidi kuuliza exactly day ili ajue namna ya kutoka siku hiyo lakini hizo habari za nenda Jumatano na rudi Alhamisi wewe unafikiri ni mwajiri gani atataka kila siku excuse kama ni mwajiri smart atakuona kimeo.Cha msingi jamaa aulizie exactly siku ya interview ili aende siku hiyo
 
true dat
 
angalia web yao piga simu,au tafuta mtu wa tanesco akujuze kwa hr au nikupe namba ya dada badra masoud pro wao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom