Updates za TBS?

Updates za TBS?

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Wakuu kama mnakumbuka kama mwezi April hawa TBS walitangaza nafasi za kazi lakini hadi leo website yao inaonyesha matangazo ya mwezi May inamaana ndo wametuchinjia baharini au tusubiri?

Mwenye taarifa anisaidie
 
Wengi tunasubiri hizo mkuu lakn naona wameamua kukaa kimya maana ni takribani miezi Minne sasa.
 
Wakuu kama mnakumbuka kama mwezi April hawa TBS walitangaza nafasi za kazi lakini hadi leo website yao inaonyesha matangazo ya mwezi May inamaana ndo wametuchinjia baharini au tusubiri?

Mwenye taarifa anisaidie

wameshaita watu kwa enterview tembelea web yao
 
Back
Top Bottom