Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

jaman wana jamii forum mm naomba yoyote mwenye kujua kama kuna mtu anaitaji muhudumu wa mgahawa ama casher katika coffee shop apa jijini dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu muhimbili walitoa kazi mwezi July mwanzon kuna alieitwa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
..jamani kwa yeyote anaye fahamu Pharm.Techn analipwa Tsh. ngapi . .kwa kuanzia??
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Part Time Housekeeper Maelezo ya kazi - Usafi wa ndani - Kuandaa asubuhi chai na dinner tu - Masaa 5 kwa siku (asubuhi 12 - 2.30) jioni saa 10 - 12), siku 6 kwa wiki. - Mfanyakazi anaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningekuwa mimi ndo MH. MATHIAS CHIKAWE ningefanya jambo moja tu kukata mzizi wa fitina. NINGEFUTA WOTE WALIOSHINDA AWALI KWA MAANA 1-70 THEN NKAITA WATU KUANZIA 71-140 KUJA KAZINI, Napita.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wajinga Wajinga hupenda kukaa pamoja na kubaki kuwakosoa wenzao na kudhani wao ndio walistahili zaidi kuliko wenzao, na hutamani kila mtu asiwe na karibu na watu werevu. Wajinga wajinga wakikaa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wenye macho washaona na wenye masikio wameshasikia vya kutosha , tusingoje mpaka ili bomu la ajira lilipuke, hali ni mbaya sana mtaani, tafadhalini pitieni upya work permit zote zilizotolewa na mu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tukijaribu kuorodhesha proffessions ambazo waTz hawawezi kuzimudu au wataalam wazawa hawapo ni chache sana, labda useme wataalam wa sekta ya gesi ambayo hata hivyo sospierre ameshaanza kuwa-train...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Aspam Energy inatafuta mtu wa zima moto mwenye experience. Kama unavigezo wasiliana na namba hi 0713327000.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1.0 Assistant Lecturers Languages and Linguistics (2 posts) Human Resource Management (2 posts) Public Relations and Advertising (1 post) Accounting and Finance (2 posts) Finance and Banking...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wana JF samahani kuna siku tulifanya interview pale FINCA TZ makao makuu na mpaka sasa sijasikia majibu yeyote naombeni mnaojua mnijuze plz.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
70 Immigration jobs put on hold over bias INTERVIEW: Of the over 20,000 applicants, 10,800 were shortlisted for a interview session which was held at National...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu jamani, niliomba nafasi 3 za Kazi tbs, zote nimeitwa na zote usaili ni tarehe 31/07/2014 saa 8:30 - 10:00, msaada wenu wadau kuhusu hii issue..
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wa JF naomba kujuzwa kuhusu kuitwa kazini kwa wale tuliofanya usaili wa mahojiano tar 19/06/2014 Utumishi kwa niaba ya Serikal kuu na za mitaa(MDAs&LGAs) kama Afisa tarafa,tawala,ustaw wa jamii
0 Reactions
2 Replies
17K Views
Mod naomba msiunganishe uzi huu.Nimesoma michango ya wachangiaji juu ya ile taarifa ya kusitishwa kwa ajira nimegundua wengi wetu tunachanganya. Ajira zilizositishwa ni za makoplo na makonstebo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu zangu kuna alieitwa muhimbilli kwenye interview? atupe taharifa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya mashairi kwenye nyimbo ya SITAKI KAZI ya Nick wa pili; 1. Nimekataa kuwa mtumwa, najituma. Kataa kuwa mtumwa, jitume. Ni kweli kwamba kuna tofauti ndogo sana kati ya...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
wakuu samahanini kwa usumbufu,kwa yoyote yule mwenye namba namba ya BW RAMADHANI DAU MKUU WA NSSF anipatie tafadhali,AHSANTENI
0 Reactions
17 Replies
4K Views
nimehitimu form six 2006 na Nina teaching experience ya kutosha. nlishindwa kuendelea na chuo Kikuyu kwa sababu za kiuchumi. Niko tayari kufanya kazi sehemu yyte katika Mji wa Moro .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom