Pole sana vijana wenzangu ambao tumekua tukitafuta ajira kwa muda mrefu sasa bila mafanikio lakini kwa sisi watu wa imani tunasema ipo siku tu tutapata basi kama ndivyo tumuachie Mungu.
Lakini...
EMPLOYMENT OPPORTUNITIESTanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzanias sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the...
Wakubwa heshima kwenu mimi ni binti nayeishi kwenye mazingira magumu sana lakini napambana bila kuchoka sababu naamini kua changamoto ndizo zinipazo akili na uwezo mpana wakufikiri.
Sina...
Wana JamiiForums. Kila siku nikiperuzi JF nakutana na malalamiko ya vijana hasa wakiilaumu hii taasisi ya uhamiaji kuhusu ajira.
Wengi wanasema kuwa uhamiaji ilitangaza ajira na waliofanyiwa...
Jamani waliofanya usaili CHUO KIKUU CHA ARDHI nafasi za kufundisha na za kiutawala mwanzoni mwa mwezi huu vp majibu tayali au ndo tushachinjiwa baharini...
JOB OPPORTUNITIES
ALLIANCE MEDICAL CENTER ANNOUNCES THE FOLLOWING FULL TIME JOB VACANCIES:
FLUENT IN ENGLISH SPEAKING
GENERAL PRACTITIONER (MD); 1 Post
Holder of Doctor of medicine degree (MD)...
Nilikua kimya ila Mungu ameisha fanya njia pasipo na njia. Ajira imeisha patika tena ktk fild yangu niliyosomea. Mungu anajibu kwa wakati wake pia jinsi nilivyoipata bila shaka ni Mungu mwenyewe...
Leo nimeona tangazo kwenye gazeti la Mwananchi la tar 25/07/2014 Tanroads-Kigoma wametangaza nafasi za kazi
1.Material Engineer mwenye Degree /registered
2.Surveyor mwenye Degree au...
Naombeni jamani mnidokeze maswali ambayo anawezwa akauliza human resource kwa upande wa intervew ya kuandika. kwani ni mara yangu ya kwanza kuitwa kwa intervew na sina idea.. asanteni.
Habar za Asubuh wakuu, jamani mwenye ABC ya hili atujuze hapa wadau.
kazi za tanapa hizi hapa.
The official site of the Tanzania National Parks - Vacancies
Sent from my iPhone using...
Habari, najua waweza kuwa nje ya Dar nakuomba tuma ujumbe huu kwa watu unaowajua wahishio Dar utakuwa umeonyesha kujali "Jumatatu ya leo tarehe 28.7.2014 saa 12 jioni hadi saa 2 usiku...
Vijana wengi wa TZ, tunatumbua macho sana kwenye category hii ya nafasi za kazi katika JamiiForums, tumejisahau kujituma na kuumiza vichwa ktk kujiajiri wenyewe kwanza.
Wengine wanaajira ila...
Wana jf na andika uzi huu nikiwa namachungu na wizara ya ajira tanzania maana nimezunguka sana na utafutaji wa ajira mpaka kila kona wanapotolea kopy za vyeti washanikalili niki ingia hata kununua...
Anahitajika msichana/mvulana kwa kazi ya kuuza vifaa vya steshenari
Awe na uzoefu wa kutosha kumwezesha kutumia kompyuta ipasavyo
Awe na umri si chini ya miaka 18 na si zaidi ya miaka 35
Awe...
wale waliokuwa wanabeza Hisa za Swala sasa angalieni hii. Wahindi wanaoishi bongo walichngamkia sana hii. Mimi mwenyewe nimechukua nyingi tu. Hii ndo investment yangu ya kwanza
Swala Oil & Gas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.