Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari JF leo nimepigiwa simu ya kuitwa kazini kupitia mradi wa ICS VOLUNTEERING PROGRAM utakaodumu miezi mitatu. Asanteni wale mlionipa highlights za interview za hawa VSO na kupata nafasi japo...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Wadau, kwa uliesomea mambo ya optometry ngazi ya certificate ama diploma please tuwasiliane kuna kazi! Ahsanteni sana!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, utumishi wameachia kazi nyingine; tembelea website ya utumishi! 1.0 MJIOLOJIA DARAJA LA II (GEOLOGIST GRADE II) – NAFASI 8 1.1 MAJUKUMU YA KAZI Kupokea na kufuatilia...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wamliofanya enterview utumishi angalieni majina yenu.
1 Reactions
0 Replies
3K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT'S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/G/49 1stAugust, 2014 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Automotive...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF samahani kwa kujaza server nimerudi tena naomba kujuzwa juu ya hawa jamaa coz tulifanya interview pale kiwandani kwao, kwa anayejua plz anijuze.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT'S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/G/49 1stAugust, 2014 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Uzoefu miaka 11 Leseni TZ bara A, B, C, C1, C2, C3, D E . Leseni ZNZ B1,D, C LUGHA English and Swahili. 0714 045 080.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za muda huu ndugu wanajf, mimi ni kijana mwenye familia tayari, nimefanya kazi na kampuni moja ila ikapunguza wafanyakazi, nina ujuzi wa kuendesha magari aina zote nina leseni daraja la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maelezo yote yapo pichani...........
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani nani atujulishe lini wanaita kwa interview maana kuomba Kazi tu ilikua Kazi.TRA badilisheni online application system yenu sio user friend kabisa
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji mwanasheria, uzoefu sio lazima sana ni PM au tuma cv yako kwenda.elishachuma@gmail.com
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanaJF hivi hizi recruitment agency au watu binafsi wanaowatafutia watu kazi alafu wanagawana mshahara mnazionaje???...maana serikali ipo kimya..sijui sheria ya kazi inazungumzaje....mfano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya wale waliomba tbs mambo yameiva twende tukapakue vitu majina kwa website yao
0 Reactions
48 Replies
12K Views
MonthlyYouth.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job
0 Reactions
0 Replies
939 Views
pongezi kwako ndani ya box,ulisema kuwa yale majina uliyonayo kuhusu uhamiaji hatimae ulipeleka sehem husika na kwa kusirikiana na vijana mashuhuri mpaka kupinga yale matokeo naiman tungekuwa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
"...ni jukumu la kila mwajiri, kutoa mkataba wa ajira, kulipa mshahara na masilahi mengine stahiki kwa wakati, kuandikisha kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We need teachers with foundation knowledge in Accounting on a part time basis. You must speak English fluently and have a clear understanding of your accounting knowledge to enable students...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa munaopenda online business munaweza kutembelea hii link MonthlyYouth.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Haya jamen hao jamaa wametangaza kazi - program manager - walimu ndo wamelengwa hasa , lakini uwe uko vizuri kimombo tena sana, haya kazi kwenu maticha… kwa info zaidi cheki website yao ,
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom