Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Utumishi wametangaza nafasi mbili za warden one na sifa zote ninazo ila wanasema aliyefanya kazi hyo kwa miaka mitano. Mimi nimekuwa patron shule ya sekondari miaka minne sasa.Je hyo inatosha km...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Job Description: Serving as the primary receptionist; maintaining office operations by receiving and distributing communications; Ordering, stocking, and distributing office supplies; Providing...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf, naenda moja kwa moja kwa mada mana nko haraka kiasi, Ok nina shida ya million moja na nitarudisha ndani ya miezi miwili yani mwezi wa kwanza nusu then wa pili namaliza hata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF na wadau wa jukwaa hili, kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mdau aliyebahatika kupata kazi ktk tangazo la August,1 kuwa wale wote waliotumia anuani za DAR barua zao wanachukulia...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu pitieni web ya utumishi wametoa nafasi za kazi www.ajira.go.tz
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Computer yangu nikiwasha nikiweka password inaniletea message kwamba profile service can not be loaded,na haifunguki. Masada plz.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hawa jama wa Barclays sijawaelewa kama unapass interview mwezi february,then machi wanakupressure upeleke doc kwaajili ya screening then april wanakuita kwa ajili ya kwenda kuchukua fingerprints...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
"We need to run the risk, because the greatest risk in life is to risk nothing. The person who risk nothing does nothing, and has nothing. is nothing and does nothing. he or she can avoid...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallow wanaJF, nna degree ya information technology ,ila ni miaka 2 ss cjapata kazi hata ya kujishikiza ,nazidi kuhangaika uku na kule kutafuta chochote ili niweze kuwasomesha wadogo zangu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau natafuta line ya m-pesa na airtel money please, Niko mtwara but nitakuwa dar nane nane, pls mwenye nayo basi,anitafute 0753287799
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa mfano kuna nafasi kama 4 alafu ---- mikoa kama mitatu.je unaruhusu kumark kwenye envolop ni mkoa gani unataka??au una mark tu lile jina la taasisi husika. msada tafadhati
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TANGAZO LA NAFASI 145 ZA KAZI SERIKALINI. APPLY KABLA YA AUGUST 19, 2014 | Kijiwe Cha Wasomi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajf kuna rafiki yangu anatafuta nafac ya kutengeneza database kwa makampuni yoyote, na pia yupo vizuri sana kwenye; 1.microsoft word 2.microsoft excel 3.microsoft powerpoint 4.microsoft...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Je unapoandika barua ya kuombea kazi kupitia tume ya ajira unaandika kwa kutumia mkono au kutype ? Japo kwenye maelezo wanasema barua inaweza kuandikwa kwa kiingereza au kiswahili.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JobandPay.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job , hawa watu kuna ukweli jamani o matapeli wa kimataifa......? get inside the link n give ur opinions?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WADAU NAOMBA ANAEELEWA KUHUSU NI LINI NA UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT. With regards.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamiiforum. Awali ya yote namshukuru Muumba wa bingu na nchi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,nimetafuta ajira na kufanya usahili Mara nyingi nikianzia...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Most of the graduates are so much interested on getting employment, without really thinking as to why do they want to get employed, people want to be employed because of security and high paying...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
MonthlyYouth.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 22,nimehitimu mafunzo ya medical laboratory kwa ngazi ya attendant (mwaka mmoja) hvyo natafuta kazi,naomben msaada wenu wana jamvi natanguliza shukrani zangu! Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom