Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 276
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji mwanasheria, uzoefu sio lazima sana ni PM au tuma cv yako kwenda.elishachuma@gmail.com
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji mwanasheria, uzoefu sio lazima sana ni PM au tuma cv yako kwenda.elishachuma@gmail.com
nnahitaji mtu wa kuniwakilisha kisheria mimi, kampuni na familia huyo anatakiwa mwanasheria au wakili?
...unataka wa kumlipa Kila mwezi?
Mshahara bei gani na marupurupu?
Jamaa sidhan kama yupo Serious. Hayupo Specific. Ni kama hajui anachohitaji.