Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa...
27 Reactions
422 Replies
59K Views
Vipi wadau ANAITAJIKA dereva wa kike au kiume ambaye atakuwa delivery man or woman to different locations in Dar es salaam.Anatakiwa awe na good track record na awe na uzoefu usiopungua 6months...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jaman tushaitwa tulioapply lile tangazo la deadline tar 11 july.nenda kwa web yao for more info
0 Reactions
25 Replies
5K Views
hii ni demo ya website yangu... yoyote anaye vutiwa na mimi na tukaweza kutengezeza kwa ajill ya project yoyote anakaribishwa.. link ShopChap online system
0 Reactions
0 Replies
895 Views
habari wanajamvi nimemaliza chuo hivi karibuni natafuta tempo yeyote plz nipm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanahitajika mafundi 2 wa magari kwa ajili ya ofisi ya kufanya matengenezo madogo madogo ya magari na pikipiki. Wanaotakiwa sio mafundi bingwa bali ni wenye uwezo na uzoefu wa wastani wa ufundi wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Sales executives wanahitajika kwa ajili ya kutafuta wateja wa vifaa vya kielectroniki. Malipo ni kwa commission inayoanzia shilingi elfu 40 hadi elfu 50 ka kila kifaa/ mashine itakayopata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A. FRANK AFRICA Geotechnical Engineering Contractors Works Manager Secretary/Administrator Auger Drill Rig Operator CV and cover letter to Frankpile International Projects 112 Amverton Tower...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari. Kumekua na uhadimu wa watu wenye utaalamu wa maswala ya ufugaji wa samaki.wengi wamekua wakifuga pasipo kujua namna halisi ya kufanya ili kufuga kwa faida...hivyo nikiwa kama mtaalamu wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kuna kampuni moja jina nalihifadhi, huwa linatoa nafasi za kazi nyingi tu, lakini kupata mpaka umpe laki tano afisa utumishi, kweli watoto wa wakulima tutapata kazi? jaman tusaidiane
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Job Description: The Accountant in will play a critical role in planning and managing the monthly, quarterly, and annual accounting close and reporting process of the company's operations.In...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za mda huu wakuu! Mimi ni mmoja wa wale ambao wanaomba kujua sites ambazo unaeza kupata scholarships/information za scholarship za masters, nje ya nchi. Natanguliza shukrani zangu za...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
ni declare interest, sijawah kuapply idara tajwa....lakini kwa vilio vya walioomba ni wazi kuna tabia ya uhamiaji ilichukua hatam pale zimamoto. ni vema kama tzgov ikaendelea sehem nyingine il...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kwa anayefahamu chuo cha afya kinachotoa mafunzo ya cheti ya unesi au maabara anipe mawasiliano yao na ikiwezekana ada zao,naomba chuo kiwe kmesajiliwa.Naomba msaada wana jf.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama unaujuzi na kuoperate crane kuna kazi zinatolewa.piga namba 0713327000.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
mwalimu wa kufundisha utengenezaji wa batiki kwa wajasiriamali anapatikana dar es salaam,kwa maelezo zaid, piga 0757688548.:flame::flame:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza namshukuru baba mungu mpendwa kwa fadhiri zake anazonipa...Nilifanya interview Utumishi kwa mala ya kwanza tarehe 10/06 pale mwalimu nyerere . Baada ya hapo nikaitwa kwa usaili wa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Find herewith the attached terms of reference, go through it and apply for a post.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear Members The Above Vacancy Is Open In A Friend Of Mine Lodge In Serengeti(owner From The US).She Requires A Mature Lady For Head Of Hkeeping.If Intrested Pliz Send Relevant Scanned Docs That...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanza kabisa namshukr Mwenyezi Mungu, BABA mkuu wa rehema na fadhila hakika kumtegemea Mungu ni zaid ya inavyoweza kuelezeka. Nlipokuwa chuoni nilimuomba Mungu, kwamba Oral Interview yang ya...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom