Kulipwa nusu mshahara...

Kulipwa nusu mshahara...

mapengo junior

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,135
Reaction score
276
Habari wanaJF hivi hizi recruitment agency au watu binafsi wanaowatafutia watu kazi alafu wanagawana mshahara mnazionaje???...maana serikali ipo kimya..sijui sheria ya kazi inazungumzaje....mfano unakuta mshahara ni 540,000/=..anaefanya kazi anapewa 270,000/=(graduate any degree)..je hii ni haki?????ukosefu wa ajira ndo watufanyie hivyo???wanatutumia thana graduate,hasa makampuni ya simu ktk customer care....je tunatatuaje tatizo hili kwa waliokwishaingia na wanao tarajia kuingia ktk mfumo huuu?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom