Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous (d6ac)
Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%. Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili. Kazi iendelee!
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Anonymous (9a11)
Habari, kuna changamoto moja inayotukumba sisi tuliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya PALMPAY, inayojihusisha na utoaji wa mikopo kwa njia ya simu. Mnamo tarehe 20/7/2026, baadhi yetu tulisimamishwa...
1 Reactions
3 Replies
84 Views
Job Overview The Fraud Analyst 24/7 will be responsible for detecting and preventing fraud through continuous monitoring of fraud alerting systems for M-PESA and GSM services. The role focuses on...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Job Overview Job Purpose The Reinsurance Officer will be responsible for managing facultative reinsurance placements, administering inward and outward reinsurance business, maintaining accurate...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba. Kwenye malipo ya madokezo, unakuta wanawasainisha kuwa watalipwa laki moja na nusu, lakini ukienda kusaini unapewa Sh20,000/= tu...
0 Reactions
3 Replies
83 Views
Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa watakaopata changamoto za kuomba kazi kama kusahau password,email, nk tuwasiliane kwa 0 792 715 343 au 0623446608(Whatsapp na kawaida) Hizo ni baadhi tu
1 Reactions
4 Replies
121 Views
Anonymous
Sisi watumishi wapya Wilaya ya Ngara walitulipa pesa nusu, mfano Diploma na Degree tuliovijijini walitulipa Sh 80,000 per day kwa siku saba badala ya Sh 130,000 per day kwa siku saba. Pia...
1 Reactions
1 Replies
73 Views
Anonymous
Mwaka 2025 nilipitia changamoto kubwa sana maishani mwangu, hali iliyosababisha kupata msongo mkubwa wa mawazo. Kutokana na hali hiyo, nilifanya uamuzi wa kuchukua mkopo wa shilingi milioni 20 ili...
24 Reactions
92 Replies
2K Views
Serikali imekuwa ikieleza kuwa haiwezi kuajiri vijana wote waliomaliza masomo na kuwahimiza kujiajiri, jambo ambalo tunalikubali. Hata hivyo, changamoto kubwa ipo kwa wahitimu wa Diploma in...
0 Reactions
2 Replies
216 Views
Anonymous
Tunaomba wahusika wanaosimamia malipo ya vibarua katika Jiji la Tanga watulipe fedha za kazi tulizofanya katika kipindi cha Julai na Agosti. Tunaishi kwa ugumu kutokana na gharama kubwa za...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Kuna mambo mengi hua hayajui ukiwa kama mfanyakazi unapoanza kazi mpya hasa kwenye nyanja za tabia na namna ya ku-handle matatizo wakati wa changamoto. Amini hili, kabla hujafahamu namna gani...
0 Reactions
3 Replies
70 Views
Anonymous
Waajiriwa wapya katika Halmashauri ya Mji Rufiji, tangu tulipoajiriwa mwezi wa nne 2026, hadi sasa hatujalipwa mshahara wala fedha za kujikimu. Hali hii imetufanya tupate changamoto kubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Serikali ninayefanya kazi jijini Dodoma. Mke wangu pia ni mtumishi wa Serikali chini ya TAMISEMI, akifanya kazi katika Halmashauri moja mkoani Katavi kama Afisa Tabibu Daraja...
3 Reactions
3 Replies
136 Views
Anonymous
Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka...
1 Reactions
0 Replies
111 Views
Habari Naitwa Asadu Haji natafuta ofisi ya kutengeneza sofa mimi ni fundi sofa kwa anayeitaji fundi mawasiliano 0688000153 nipo teyari kwa Interview
2 Reactions
1 Replies
34 Views
Habari Naitwa Asadu haji Naishi Dar es salaam Natafuta Ofisi Ya Kutengeza Sofa Mimi Ni Fundi Kwa Anaye Itaji Fundi Sofa Kwa Mawasiliano 0688000153 Nipo Tayari Kufanya Interview
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Kinyozi anahitajika dodoma akabidhiwe ofisi.kama uko interested nicheki PM
0 Reactions
5 Replies
112 Views
  • Closed
Habari za saa hizi ndugu zangu mmeamkaje, mko vema Poleni sana pia wenye changamoto mbalimbali, Mimi pia Nina changamoto kwangu ni kubwa ila yupo mwenye changamoto zaidi yangu. Naombeni mnipatie...
9 Reactions
55 Replies
855 Views
Anonymous
Watumishi wa Hospitali ya Wilaya Mbinga (MDH) hatulipwi stahiki zetu, ikiwemo fedha za uniform, extra duty, likizo, duty na call. Watumishi tunaishi maisha magumu sana huku Katibu, kila akiulizwa...
0 Reactions
4 Replies
74 Views
Back
Top Bottom