Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona...
10 Reactions
79 Replies
5K Views
Kama dawa kama kawa. niende kwenye swali bila kupoteza muda kwa wajuvi au ambao wamesha kutana na hili. Hivi wanawake wanamaanisha nini pale unapokua nae kwenye mahusiano anakuona jau (fala)...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nipeni ushauri mdogo wenu. Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lakini yeye tayari hivi sasa...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Nina hoja. Ili kupunguza visa vya Wanandoa kuendelea kuwekeana chuki na kuumizana wakati wa mchakato wa kutengana kimahakama, naona ni vema fomu za TALAKA ziwekwe kwenye mifumo ya mahakama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Mapenzi yameniumiza sana inafikikia hatua nikumuona mtu anaongozana na mpenzi wake njiani Nahisi kuumia moyoni au Mtu akiwa anaongea na mpenzi wake kwa njia ya simu naona kama ananipigia kelele...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako; 1. Masuala ya mahusiano yako Hii haikumaanisha kujua status kwamba umeoa au umeolewa,hii imelenga watu ambao wanapenda kuongelea masuala ya mausiano yao...
20 Reactions
100 Replies
6K Views
Unapomnyang'anya mumeo Sauti, Mamlaka, Hadhi ya ubaba inakusaidia nini!? Na kwanini unafanya hivyo.!? Mbona kijana wa watu hana hatia kabisa. Uhuru unaoutaka wa kujiachia, kuwa na Wanaume...
3 Reactions
4 Replies
764 Views
Sio siri wakuu. Mpaka sasa nimeamua kuweka makazi yangu Uswazi. Familia nimeiacha ushuwani huko Wanawake hawa wamekuwa ni watu wa kujiachia sana. Yaani kumkutiliza anafua huku kanga nyepesi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa. Kiufupi wote...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarii Wana JF Natafuta mume Nina umri miaka 26 Mkristo Mjasiriamali Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa. Awe mkristo Asiwe ameoa Umri anizidi kuanzia 28...
20 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana...
58 Reactions
233 Replies
18K Views
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha Sifa ya mwanaume anayehitajika. 1) Awe na kitambi, ila sio...
16 Reactions
810 Replies
41K Views
kitakachonirudisha ni ile ladha ya mboga ya mrongi niliyokula pale kwa dada mmoja mama ntilie karibu na guest niliyofikia ya Upendo. kabla nilikuwa sijawahi kula na hata sikufikiria kuwa ni...
5 Reactions
58 Replies
9K Views
Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe...
44 Reactions
152 Replies
15K Views
Moja kwa moja madani. 'Theoritically' hakuna mwanaume aliyekamilika ambaye hatamani kuwa na Zari, Uwoya, Tunda 'etc'... hawa mabinti wapo limited kwa wachache wenye nguvu (kisu kikali, yaani...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za majukumu Ndugu zangu, Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Wote wawili ni pisi kali, wanafanya kazi ofisi moja na nishawapelekea moto. Wa kwanza nilimla cheap tu coz alikua ananielewa kinoma, huyu wa pili alinielewa kitambo ila alitaka kuleta usanii...
9 Reactions
97 Replies
8K Views
Hii ni baada ya lile thread ya kulipwa fadhira na mtoto wa kihaya....? Maana kuna mambo mengi mazuri na mabaya yametokea. Kupitia ile thread utajifunza wanaume wa jf wapoje na wanawake wa jf...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom