Nitarudi tena kilwa Kivinje

Nitarudi tena kilwa Kivinje

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,854
Reaction score
5,714
kitakachonirudisha ni ile ladha ya mboga ya mrongi niliyokula pale kwa dada mmoja mama ntilie karibu na guest niliyofikia ya Upendo. kabla nilikuwa sijawahi kula na hata sikufikiria kuwa ni mboga......nilivyouliza na kujibiwa kuwa kuna mboga ya mrongi, nikaona ngoja nijaribu. yaliyonikuta ndo hayo, lazima nirudi tena kule, wallah!!!!

nyongeza:
jirani na Upendo guest house nilipofikia, kuna gues moja ndogo hv.....kuna kina dada hapo muda wote wanapiga story, nilipomhoji mhudumu, ambaye pia ni wa kike, alijibu kuwa hao ni wanunuzi tu wa samaki kutoka kusini na wanapenda kufikia pale sababu ni rahisi sana hivyo wanaweza kukaa siku nyingi wanazohitaji kwa ajili ya kufuatilia na kusubiria mzigo! sijui amenidanganya yule?!!!!!

ndo hivyo jamani......nimetokea kukupenda kilwa kivinje!
 
Hiyo mronge mie siifahamu kaka ake

Japo kisamvu huwa nakipenda kweli
ni mboga inayotoka ktk miti flani hivi ambayo maeneo mengi tunaitumia kama mapambo (maua) tu. zaidi zinasikika mbegu zake tu kuwa ni dawa.....malaria n.k. majani yake kumbe kule kilwa ni mboga.....kiukweli, kwangu mimi, inanukia vzr na ina ladha maridhawa kabisa. ilitiwa nazi!
 
kitakachonirudisha ni ile ladha ya mboga ya mrongi niliyokula pale kwa dada mmoja mama ntilie karibu na guest niliyofikia ya Upendo. kabla nilikuwa sijawahi kula na hata sikufikiria kuwa ni mboga......nilivyouliza na kujibiwa kuwa kuna mboga ya mrongi, nikaona ngoja nijaribu. yaliyonikuta ndo hayo, lazima nirudi tena kule, wallah!!!!

nyongeza:
jirani na Upendo guest house nilipofikia, kuna gues moja ndogo hv.....kuna kina dada hapo muda wote wanapiga story, nilipomhoji mhudumu, ambaye pia ni wa kike, alijibu kuwa hao ni wanunuzi tu wa samaki kutoka kusini na wanapenda kufikia pale sababu ni rahisi sana hivyo wanaweza kukaa siku nyingi wanazohitaji kwa ajili ya kufuatilia na kusubiria mzigo! sijui amenidanganya yule?!!!!!

ndo hivyo jamani......nimetokea kukupenda kilwa kivinje!
Karibu sana, siku nyingine ukipita Somanga hapa ni PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom