Natafuta mume (searching for husband)

esma bey

Member
May 30, 2023
12
27
Habarii Wana JF

Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali

Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa.

Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28, 29, 30.

Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani.

PLS: KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM

Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya.

MUNGU AWABARIKI
 
Habarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali

Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa

Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28,29,30...

Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani

PLS:KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM

Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya

MUNGU AWABARIKI
Kila la kheri😊
 
Picha pls
 
MUNGU AWABARIK
Si unijalie kapicha pm Mpendwa
 
Duuuuh. Kama hiyo paragraph ya mwisho ni kweli basi pole sana.

Ila mbona umri wako bado mdogo sana kutafuta mume humu.

Mbona unataka kujilimit.

Kama unataka kuolewa kweli na mwanaume atakaekupenda kwa dhati punguza haraka.

Humu wengi watakukula watakuacha.

Kila la Kheri.
 
Hii nchi ina udini mpaka leo
Anyway njoo pm tuyajenge ila tu cna ela nipo dar
 
Duuuuh. Kama hiyo paragraph ya mwisho ni kweli basi pole sana.

Ila mbona umri wako bado mdogo sana kutafuta mume humu.

Mbona unataka kujilimit.

Kama unataka kuolewa kweli na mwanaume atakaekupenda kwa dhati punguza haraka.

Humu wengi watakukula watakuacha.

Kila la Kheri.
Na mimi sio mwepesi hivo mpendwa wangu,mimi siharakishi Wala si kuwa sipati watu serious ila dini tofauti,kingine unachotakiwa kuelewa uzazi na udogo,sisi wanawake tuna limit ya umri wa kuzaa tunatofautiana kwenye mitazamo siwezi kataa mtazamo wako,ubarikiwe
 
Nielezee esma bey hili jina umelichagua kwa sababu ipi.. au lina maana gani ?

Ukinipa majibu mazuri Nakuja DM chap kwa haraka 🙏
 
Habarii Wana JF
Natafuta mume
Nina umri miaka 26
Mkristo
Mjasiriamali

Natafuta mwanaume aliye serious tuanzishe mahusiano endelevu kisha ndoa

Awe mkristo
Asiwe ameoa
Umri anizidi kuanzia 28,29,30...

Sababu ya kuja JF nipo mazingira ambayo dini tofauti na yangu imeshika hatamu na wazazi wangu wamekwisha kataa wanaume wawili waliokuja wa dini tofauti Kiukweli napata walio serious ila dini tofauti na wazazi wangu ni viongozi wakubwa kanisani

PLS:KAMA UPO SERIOUS TUKUTANE PM

Naombeni jamani msi attack post yangu sitaweza kuwajibu na nitajisikia vibaya

MUNGU AWABARIKI
Kaa utulie. Uwe mzuri na tabia nzuri utapata mume. Atakutafuta wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom