intelelect
Senior Member
- Jul 8, 2022
- 190
- 288
Mapenzi yameniumiza sana inafikikia hatua nikumuona mtu anaongozana na mpenzi wake njiani Nahisi kuumia moyoni au Mtu akiwa anaongea na mpenzi wake kwa njia ya simu naona kama ananipigia kelele yaani ananivuruga nakua nachukia sana natamani ata kumwambia kaongelee kuleee .......[emoji41]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app