Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini. Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu...
51 Reactions
162 Replies
13K Views
Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Mwanangu mpenzi siku ukiona nimezeeka naomba uvute subira na kunivumilia ila zaidi ya yote jitahidi kuelewa ninachopitia. Ikiwa tunapozungumza, narudia jambo lile lile mara elfu moja...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu niaje sijawahi Omba ushauri Jf bt imebidi coz nahisi naenda kudata. Sitaki tuchoshane na stori,ndeeeeefu ila tu niambieni nimekosea nn mazee maana ni siku ya 5 sijiskii poa nahisi kama...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa??? FaizaFoxy
19 Reactions
105 Replies
6K Views
Salama waungwana, Niwaulize kwa uchache tu hivi huu ubinuaji wa maprosoo a.k.a makalio Kwa wanawake wakati wakicheza miziki nyakati hizi za ndebendebe na amapiano ni kwamba wanakuwa na stimu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
KWENYE LUGHA KUNA MOTHER TONGUE, KWENYE MAPENZI KUNA FIRST LOVE, TUNAITA MAIN BASE YA MAHUSIANO. Na, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu duniani kina msingi wake. Ipo misingi imara na Ipo misingi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanza kabisa mimi sio mlevi wa pombe kivile ila siku moja moja huwa inatokea bahati mbaya tu napitiliza. Lakini hata nilewe tilalila kuna vitu ambavyo siwezi nikavisahau ambavyo ni 1. Namba ya...
8 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari jf. Naomba uzoefu wenu watu wazima mlio na watoto au watoto ambao umezaliwa kwenye familia hii. Ni zile familia ambazo Baba yako kazaa na wanawake hata 2 au zaidi ya 2 na wanawake aliozaa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana Jamii forum..mm nipo serious naitaji mchumba kilema hasa awe hana miguu au masikio Nimetokea kuwa na wanawake kadhaa ila saizi nawapenda na navutiwa na vilema Can yangu 1...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea...
7 Reactions
166 Replies
13K Views
Vilio Ni vingi! Ooh ni viiingi saana! Hawa wameuana kwa wivu wa mapenzi, huyu amejinyonga, yule anakonda amesalitiwa, mmh makubwa haya! Kwenye nyumba ile, wazazi hawana amani juu ya watoto wao wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Sina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar SIFA ZANGU White Tall ft 5'5 Kibonge wastani self employed...
22 Reactions
144 Replies
8K Views
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu. Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita. Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama...
40 Reactions
128 Replies
9K Views
Wakuu nipeni ushauri mdogo wenu. Nipo kwenye mahusiano na huyu binti kimsingi tulianza mahusiano kipindi nipo mwaka wa kwanza chuoni (hivi sasa nipo mwaka wa pili), lakini yeye tayari hivi sasa...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Jamani nyie! Kwanza naipenda hii platform kwasababu ya anonymity feature! Ila kwanini wanaume ni heartless sana? Inakuaje unamtafuta mwanamke miaka kama minne straight pale anapokupa nafasi...
15 Reactions
155 Replies
16K Views
Ndugu zangu hali niliyonayo sasa naona sio nzuri, kama nilivyowaambia hapo kwenye juu kama kutakuwa kuna mwenye mbinu mpya anipe. Nimekuwa na mwanamke wangu ambaye kiukweli nilidhani mi napenda...
26 Reactions
318 Replies
39K Views
Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini? Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana. Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya...
61 Reactions
610 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…