🤢🤢sababu nn nikatubu?dhambi zako ukatubu kwenye pyramids egypt
Hisia za ndani......yaani napenda sana hawa watuKwa nini ?
Nia njema kabisa napenda tu niwe nampendaaa asijihisi mpungufuUnaweza ukakuta unafanya haya yote ili kuepuka kuchapiwa. Ukaoa na bado ukachapiwa.
Anyway, turudi kwenye mada.
Mungu akutimizie haja ya moyo wako kama kweli nia yako ni njema.
Shukran madamKila la kheri
Mhh hapana ukimpata wa sifa nilizotajaMimi sina vyote
Sawa tafuta utapata, ukikosa mke mzima utakaye muoa anapata ajali anakuwa mlemavu mpango wako unatimia.Hisia za ndani......yaani napenda sana hawa watu
Hapana naita natural madeSawa tafuta utapata, ukikosa mke mzima utakaye muoa anapata ajali anakuwa mlemavu mpango wako unatimia.
Yote sawa hata wa ajali poa tuHapana naita natural made
Sina miguu/masikio, au niongeze sauti?Mhh hapana ukimpata wa sifa nilizotaja
Umekunjaje hapo kwenye dp?Sina miguu/masikio, au niongeze sauti?
Hapana mke natakaUnataka umtoe kafara sio?