Mpenzi wangu anapenda ngono sana, nashindwa kumhimili

Dec 28, 2021
63
106
Ndugu zangu hali niliyonayo sasa naona sio nzuri, kama nilivyowaambia hapo kwenye juu kama kutakuwa kuna mwenye mbinu mpya anipe.

Nimekuwa na mwanamke wangu ambaye kiukweli nilidhani mi napenda mapenzi lakini niligundua mimi sipendi mpaka nilipokutana naye huyo.Eeh bhana yule mwanamke anapenda kufanya mapenzi jamani imefika hatua naona kabisa mbn kama uwezo wangu umeshuka sana kabisa katika kunyandua.

Imefika hatua sasa nimetumia hadi vumbi la mkongo, na kuna kupindi niliwahi hadi kumeza vidonge vile vya kuboost mchezoni maana hamuwezi amini yule mwanamke kila anapokuona yeye anataka show.Furaha yake anataka akukamue aone kama kabisa mashine imelegea kabisaaaaaa

Kuna muda unaweza kustuka usiku ukamkuta ameshakuparamia mara mashine anainyonya kabisa mpka unajiuliza huyu hana usingizi au ni mimi.imefika hatua mpaka naogopa au jini nini huyu.Japo kwao napajua na historia yake naijua na hata ndugu zake nawajua na wapo kaka zake ambao tumekuwa wote.

Em nipeni mbinu mpya jamani maana naona kama uwezo wangu kitandani hadi kama unashuka hivi nitumie nini maana nimesikia hii mivumbi na vidongo vina madhara mara nasikia vinaathiri sperm zinakuwa haziwezi kutungisha mimba mara uwezo baada ya muda flan ndo utapotea kabisa em nisaidieni wana Forum

Au nimwache nini huyu mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja.
 
Ndugu zangu hali niliyonayo sasa naona sio nzuri,kama nilivyowaambia hapo kwenye juu kama kutakuwa kuna mwenye mbinu mpya anipe.

Nimekuwa na mwanamke wangu ambaye kiukweli nilidhani mi napenda mapenzi lakini niligundua mimi sipendi mpaka nilipokutana naye huyo.Eeh bhana yule mwanamke anapenda kufanya mapenzi jamani imefika hatua naona kabisa mbn kama uwezo wangu umeshuka sana kabisa katika kunyandua.

Imefika hatua sasa nimetumia hadi vumbi la mkongo,na kuna kupindi niliwahi hadi kumeza vidonge vile vya kuboost mchezoni maana hamuwezi amini yule mwanamke kila anapokuona yeye anataka show.Furaha yake anataka akukamue aone kama kabisa mashine imelegea kabisaaaaaa

Kuna muda unaweza kustuka usiku ukamkuta ameshakuparamia mara mashine anainyonya kabisa mpka unajiuliza huyu hana usingizi au ni mimi.imefika hatua mpaka naogopa au jini nini huyu.Japo kwao napajua na historia yake naijua na hata ndugu zake nawajua na wapo kaka zake ambao tumekuwa wote.

Em nipeni mbinu mpya jamani maana naona kama uwezo wangu kitandani hadi kama unashuka hivi nitumie nini maana nimesikia hii mivumbi na vidongo vina madhara mara nasikia vinaathiri sperm zinakuwa haziwezi kutungisha mimba mara uwezo baada ya muda flan ndo utapotea kabisa em nisaidieni wana Forum

Au nimwache nini huyu mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja.

Nipatie namba zake usije ukafa!
 
Mpe mtaji au mpe kazi ngumu ili achoke mwili na akili itakusaidia kupunguza kasi na kuongeza kipato. Kama hilo gumu mpe stress...
Labda kazi kweli zitasaidia ila sio stress....

stress huwa ni kama energy drink yani ukifanya mapenzi huku una stress unakua na nguvu mara dufu hata kuchoka hakupo utajua kesho yake kuwa ulichoka baada ya kupata maumivu ya miguu, mgongo na kiuno
 
Back
Top Bottom