Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana...
18 Reactions
33 Replies
3K Views
Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu salaam. Nimekutana na jamaa hapa ananiambia ashawahi kupiga goli kumi na moja kwa usiku mmoja. Hii kitu inawezekana kweli? Kuna mtu ambaye ashawahi fikisha? Nawasilisha.
10 Reactions
121 Replies
9K Views
Nimepoteza funguo ya ghetto!,funguo nyengine anayo mtu mwengine ambae kuja mpaka kesho kutwa na huyo mwenye funguo nae kapoteza simu Sina mawasiliano nae!. Utamu kunoga upo hapa: Second option...
1 Reactions
5 Replies
787 Views
Hello guys hatujambo sote! I have got few words to share, please everybody has got a private world of their own, and this should be born in mind and respected by all people. This has to be very...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
guest-1793390367
Ukiambiwa kila EX wako akupe shilingi elfu kumi utakusanya jumla shilingi ngapi?
1 Reactions
5 Replies
538 Views
Huo ndiyo ukweli kubali au kataa haibadilishi ukweli huo! wale wataalam wa sayansi wamelithibitisha hilo kwa kusema "Like charges repell and unlike charges attract" binadam kaumbwa kugombea...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Wasalaam Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa...
20 Reactions
103 Replies
6K Views
Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi...
30 Reactions
135 Replies
12K Views
Yani usipime, ngono ni kama ibada, sio wote lakini ni wengi Madereva wa malori, tipa, wachimbaji wa madini wajenzi wa nyumba
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini members, natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kujenga taifa. Ningependa kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu ni jinsi gani naweza kushughulikia swala hili. Mimi binafsi sio mtu...
16 Reactions
110 Replies
8K Views
Nina miaka 30, nimeajiliwa na kipato namshukuru Mungu kipo fresh. Naishi Dar es Salaam. Sina mtoto, dini mkristo. Urefu 6'2, maji ya kunde. Natafuta mke, awe mwalimu, regardless chekechea...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu Niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk, Huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho...
7 Reactions
90 Replies
10K Views
Habari wapendwa wote hapa jukwaani. Najitokeza kutafuta mke wa maisha yangu. Natamani kuwa na familia bora yenye upendo na furaha. Familia bora huanza na mama bora, pamoja na majukumu thabiti ya...
3 Reactions
7 Replies
991 Views
Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo...
18 Reactions
68 Replies
5K Views
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!! Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai...
17 Reactions
111 Replies
8K Views
Wakuu nna mwanangu mmoja bana sweden.. ana mwaka wa 3 huu sasa jamaa hana mtoto hana mke wala nin bongo. Anasoma now.. Jamaa ni wale ma blaza meni yan.. bono alikua anamilik watoto wakal...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Si mmekuwa mkisikia kuhusu mtumbwi wa vibwengo? Tupo tuliouparamia na ukatushinda almanusra nafsi, roho, uhai ututoke! Ilikuwa ni pisi fulani hivi tamtam ambayo nilidumu nayo kwenye dimwi la...
24 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…