Natokaje hapa wakuu?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,223
56,875
Nimepoteza funguo ya ghetto!,funguo nyengine anayo mtu mwengine ambae kuja mpaka kesho kutwa na huyo mwenye funguo nae kapoteza simu Sina mawasiliano nae!.

Utamu kunoga upo hapa:

Second option ni kwenda kulala kwa mchumba,Sasa mbovu mbaya ni kwamba juzi nilikichafua nilikwazana nae nikamtusi mtoto wa watu nikamwambia kwamba simtaki na komwe lake! (Japo Hana hilo komwe!),nikamuita yeye ni ng'ombe!

Haikutosha alikuwa amesuka nywele zimesimama fulani hivi nikamuita yeye ni nungunungu!.

Nae hakukaa kimya kama tuwajuavyo dada zetu wana midomomidomo nae akanitukana kwa kuniita mimi ni konokono!!. Hii kitu iliniuma sana nikamlamba vibao viwili vya kumfunza adabu!.

Ikabidi awe mpole nikaendelea kumshushia mijitusi ya hovyo!, kiufupi nilikichafua sana!.

Sasa ngoma imewamba!,najiuliza leo konokono nitalala wapi,kuvunja mlango siwezi ni ghalama zinazoweza kuepukika maana funguo nyengine ipo sema ndo huyo mpoteza simu hayupo!.. hapa nimeunga dakika takribani 300 nataka nimpigie nungunungu wangu lakini nasita,aibu naona mimi.

Namimi ni aina ya lile lijitu ambalo ni ligumu kuomba msamaha!,Nina ego mpaka mi mwenyewe nimeshajishindwa!.

Naanzia wapi na naishia wapi?

Nitumie mbinu ipi mchumba aelewe?

Kwa mbali nasikia ule wimbo wa mboso we selemani we sele unaiimba kichwani mwangu..!! Hii ndo inaitwa Kaa huko nami nikae huku tumfinye mshenzi!.😔
 
Zamani ulikuwa unaandika nyuzi za Maana. Sikuhizi umekula maharagwe ya wapi
Ukiona kitu hakina umaana unapita kimyakimya.. ukiandika ya umaana mod wanapita nazo! Wacha nitambae navyotaka Sasa..!
 
Nimepoteza funguo ya ghetto!,funguo nyengine anayo mtu mwengine ambae kuja mpaka kesho kutwa na huyo mwenye funguo nae kapoteza simu Sina mawasiliano nae!.

Utamu kunoga upo hapa:

Second option ni kwenda kulala kwa mchumba,Sasa mbovu mbaya ni kwamba juzi nilikichafua nilikwazana nae nikamtusi mtoto wa watu nikamwambia kwamba simtaki na komwe lake! (Japo Hana hilo komwe!),nikamuita yeye ni ng'ombe!

Haikutosha alikuwa amesuka nywele zimesimama fulani hivi nikamuita yeye ni nungunungu!.

Nae hakukaa kimya kama tuwajuavyo dada zetu wana midomomidomo nae akanitukana kwa kuniita mimi ni konokono!!. Hii kitu iliniuma sana nikamlamba vibao viwili vya kumfunza adabu!.

Ikabidi awe mpole nikaendelea kumshushia mijitusi ya hovyo!, kiufupi nilikichafua sana!.

Sasa ngoma imewamba!,najiuliza leo konokono nitalala wapi,kuvunja mlango siwezi ni ghalama zinazoweza kuepukika maana funguo nyengine ipo sema ndo huyo mpoteza simu hayupo!.. hapa nimeunga dakika takribani 300 nataka nimpigie nungunungu wangu lakini nasita,aibu naona mimi.

Namimi ni aina ya lile lijitu ambalo ni ligumu kuomba msamaha!,Nina ego mpaka mi mwenyewe nimeshajishindwa!.

Naanzia wapi na naishia wapi?

Nitumie mbinu ipi mchumba aelewe?

Kwa mbali nasikia ule wimbo wa mboso we selemani we sele unaiimba kichwani mwangu..!! Hii ndo inaitwa Kaa huko nami nikae huku tumfinye mshenzi!.
ila watu jaman,haya pole konokono weee
 
Back
Top Bottom