Kivipi wanawake 'wana run' dunia?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,014
Anyo-Ashi-Mikaaaa!!

Niende kwenye mada.

Wakati fulani nilisikia wimbo wa msanii mmoja ajiitaye Alikiba ukiimbwa "yana run dunia", ila wengi wakaubadilisha na kusema "wana run dunia". Wakimaanisha wanawake wana run duna.

Anyways! Sasa mimi mimiamadiwenani nataka kujua ni kivipi?

Kwa sababu:

1. Kama ni kuchunwa mbona mimi sichunwi na sijawahi kuchunwa kwenye mahusiano yangu yote, zaidi ya kutoa hela ninayoitaka kwa wakati nitakaotaka?
Hivi kuna watu bado wanatoa pesa under pressure mpaka leo hii.

2. Sijawahi na sitowahi kupiga goti kwenye kumvisha pete mchumba, achilia mbali iwe ni pozi au la!

3. Naongea kwa kujiamini kuwa HAKUNA mwanamke yeyote wa kunitikisa wala kunibabaisha kwa CHOCHOTE.

Namzoea na kumuona kawaida mwanamke YEYOTE yule watu wanayemsifia kuwa ni mzuri, kwa dk zisizozidi mbili TU. Sasa mapenzi yana run vipi dunia hapo?

4. Sina uso wa aibu kwenye pesa yangu mbele ya mwanamke YEYOTE yule. Sina aibu kwenye kusema SINA PESA. Hata nikiwa nayo naweza kusema sina, hata nikiombwa 50k tu naweza kusema sina hata kama nina pocket money ya 500K mfukoni.

5. Siogopi kum face mwanamke YEYOTE na sibabaishwi na uzuri wa mwanamke YEYOTE. Yaani manjonjo yote hayatosaidia chochote nikiamua LANGU.

6. Sauti ya kumtoa nyoka pangoni, urembo, mvuto, makalio, hips hazinizuzui kwa CHOCHOTE nikishaamua LANGU.

7. Nipo DSM muda mrefu na sijawahi kubabaishwa na 'pisikali' yeyote. Mimi chini ya dk mbili namuona wa kawaida mno. Naweza hata kumnyima jero ya vocha (joking).

Kwa sababu hizo chache tu, sasa hiyo ya wanawake ku run dunia mbona siioni? Mnaweza kunionesha? Huenda nikawa mshamba naenda anti clockwise huku wanaume wenzangu wanakwenda clockwise.

Tujuzane hapa! How wanawake wana run ulimwengu (kimahusiano)?

NB
Nimelelewa na baba na mama, sikulelewa na mama pekee!
 
Ukisoma Biblia kitabu cha Mwanzo

Adam pamoja na ucha Mungu wake wote lakini ni Eva ndiye aliyemfanya ajione yupo uchi anahitaji kuvaa

Samson pamoja na Nguvu zake nyingi lakini ni Delila ndiye aliyemuweza.

Sasa sijui mtoa mada unataka tukupe mfano gani mwingine ndiyo uelewe.

Ushauri wangu kwako, ukitaka usione nguvu za Wanawake ni vyema ukafanya yafuatayo;
  • Ukajikita na sabuni/mafuta miaka yako yote
  • Ongea na Elon Musk akupatie Robot lako moja ulioe
LLakiniukiona tunagombania akina Mwajuma ndala ndefu huku kitaani, basi ujue hauna muda mrefu kabla hujajaririshwa mashairi ya AliKiba - Mapenzi yana run Dunia 🙌
 
Ukisoma Biblia kitabu cha Mwanzo

Adam pamoja na ucha Mungu wake wote lakini ni Eva ndiye aliyemfanya ajione yupo uchi anahitaji kuvaa

Samson pamoja na Nguvu zake nyingi lakini ni Delila ndiye aliyemuweza.

Sasa sijui mtoa mada unataka tukupe mfano gani mwingine ndiyo uelewe.

Ushauri wangu kwako, ukitaka usione nguvu za Wanawake ni vyema ukafanya yafuatayo;
  • Ukajikita na sabuni/mafuta miaka yako yote
  • Ongea na Elon Musk akupatie Robot lako moja ulioe
LLakiniukiona tunagombania akina Mwajuma ndala ndefu huku kitaani, basi ujue hauna muda mrefu kabla hujajaririshwa mashairi ya AliKiba - Mapenzi yana run Dunia
Sasa mbona niko kwenye mahusiano miaka mingi sana? Hayo ya kutumia mafuta yanakujaje? Kwani kuna wanaume bado wanatumia mafuta/sabuni? Looh maajabu haya!
 
Back
Top Bottom