Kesho ni furahi dei

Kesho ni furahi dei

that manzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
386
Reaction score
1,247
Habari zenu wakuu, poleni na hekaheka na harakati za siku nzima

Kesho ni ijumaaa msisahau kuwatumia wapenzi wenu hela jamani, mtumie babe wako hata ka 6000 akale biriani au chips msiwe wachoyo jamani [emoji3][emoji3][emoji3]

Sisi tulio single kesho tufunge na kuomba tuiombee TANESCO
​
IMG_4020.jpg
 
Back
Top Bottom