Siku wanawake wakijitambua hakika hakutakua na mahusiano

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Wakuu.

Kama tunavyo fahamu binadamu tume umbwa kwa kutegemeana na hakuna aliye kamilika, na hii ndiyo maana wanawake wakanyimwa utawala , nguvu na akili za kutosha na wakapewa udhaifu ,hisia na mihemko kuliko sisi wanaume. Hali kadhalikana na sisi kama wanaume tukapewa akili , nguvu na mamlaka ya kuwatawala na kuwaongoza kama chombo dhaifu na kisicho kua na nguvu hapa duniani siku zote za maisha yao taka wasitake falme ya mwanaume itabaki kuwa juu.

Ndugu zangu ni ukweli kwamba ili mwanaume akamilike lazima awe na mwanamke na kinyume chake pia kwa upande wa wenzetu ni hivyo hivyo.Tuna oa au tupo tunaishi na wanawake ili kupata kike ambacho hatuna na wao wapo na sisi ili kupata kile ambacho hawana ikiwemo uongozi, mamlaka na kutawaliwa kwa sababu wao hawana nguvu nani dhaifu sana, pia kutuzalishia watoto kama matunda ya kutegemeana sisi kwa sisi na kuijaza dunia kama tulivyo amriwa

Ndugu zangu wanaume ifahamike kwamba wanawake wote tulio nao ni hawa hawa changamoto kila kukicha isipokua wanazidiana tuu kwa namna moja ama nyingine na hata ukiona hajielewi au anajielewa fahamu kabisa nyuma yake kuna mwanaume mwenye akili na ana zitumia sawa sawa kama tulivyo amriwa ili kumtawala, kumuongoza na kumpa formula ya maisha pamoja na kumuongezea standard mwanamke wake.

Haya yote ya kutegemeana na hawa wenzetu kunyimwa sana vingi ndivyo vina fanya tuwapende na tutamani sana kua nao kwenye mahusiano katika maisha yetu, pia ijulikane wanawake hawa tunao waona ndiyo ubavu wetu mmoja tu ulitumika kuwa umba hivyo wamekosa vingi sana na inapaswa kama wanaume tuwatawale , tuwapende , tuwaongoze haswa na sii vinginevyo .

Hali kadhalika wanawake mnapaswa kuwa watii, wanyeyekevu, wasikivu, wenye kujitunza sana, waaminifu na wake wema kwetu na siyo kuleta mapicha picha.

Kutafuta mwanaume au mwanamke mkamilifu ni kutafuta kutokuwepo kwa mahusiano duniani na iaminike kwamba siku wenzetu hawa wa kike wakijitambua basi ufalme wa mwanaume utaangushwa na hakutokuwepo tena na mahusiano duniani na sisi wanaume lazima tutahukumiwa na kuchomwa moto kwa kuzipoteza nafasi zetu tulizopewa na mwenyezi Mungu.

Nb. WANAWAKE WOTE NI SAWA NI VILE WANAZIDIANA TUU UPUUZI NA UPUMBAVU , KUWA LAZIMISHA WAJITAMBUE NIKUTAFUTA KUDHOHOFISHA FALME YA MWANAUME . TUISHI NAO KWA AKILI ILI MAHUSIANO NA KUTEGEMEANA KUENDELEE KUWEPO

Wenzetu ni chombo dhaifu sana kisicho na nguvu.
 
Ndugu zangu ni ukweli kwamba ili mwanaume akamilike lazima awe na mwanamke na kinyume chake pia kwa upande wa wenzetu ni hivyo hivyo.Tuna oa au tupo tunaishi na wanawake ili kupata kike ambacho hatuna na wao wapo na sisi ili kupata kile ambacho hawana ikiwemo uongozi, mamlaka na kutawaliwa kwa sababu wao hawana nguvu nani dhaifu sana, pia kutuzalishia watoto kama matunda ya kutegemeana sisi kwa sisi na kuijaza dunia kama tulivyo amriwa
:cool::cool::cool: understood
 
Back
Top Bottom