Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tumezoea kuona au kusikia wanandoa wanapata matatizo au hitilafu za urijali au uanawake katika suala linaloathiri tendo la ndoa wakati washakua wazee au washaoana na wanawatoto wanabaki kuishi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Sometimes wanawake huwa wanajiuliza maswali mengi, wafanyeje ili wapendwe, wanahisi wana bahati mbaya. Kila wanapoitoa mioyo yao mabwana wanakula mzigo wanatembea. Mioyo yao imejaa matundu...
14 Reactions
85 Replies
14K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wanaume wa Songea wamepewa sifa mbaya ya kupenda zaidi wanawake kuliko makabila mengine. Nasema kwa dhati sifa hiyo siyo ya kweli hata kidogo na haiwastahili kabisa...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Wakuu, Yaani hapa nilipo nimejikuta Niko down Sana na Sio kwa sababu eti Nina shauku ya kutaka kumla manzi wangu...hapana ni just mzuka umekata tu na hiki kibaridi Cha dar sielewielewi. Iko hivi...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari za mchana Wa jf.bila kupoteza wakati niende kwenye mada:Nina miaka 25( ME)natafuta mpenzi Nko Dodoma. Umri kuanzia 20-30 Kama uko seriously njoo pm
1 Reactions
1 Replies
505 Views
Vijana wengi wakishafikisha umri wa balehe au baada ya hapo huwa hawapendi kuwaita wazazi wao baba au mama, mara nyingi utawasikia Mama wakimuita bi mkubwa na baba akiitwa Mzee. Je, kuwaita hivyo...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Nilikuwa nahitaji mahali pakujisitiri sio kula na kukaa mahali but ni kazi tu ili nisitegemee madanga so huyu mtu alidai atanisitiri mwanzoni ilikuwa mwezi wa sita akadai anaumwa kapata shida...
28 Reactions
199 Replies
9K Views
Wakuu habari za wakati huu, Natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa. Wakuu kuna hali naona kama inataka kunizoea aisee namie mazoea sipendi...!! Hiii hali ya ku-date na...
9 Reactions
103 Replies
4K Views
Tangu nizaliwe hapa duniani ni wanawake wawili tu ndio wameweza kuniridhisha kwenye tendo la ndoa, pamoja na umri wangu huu wa miaka sabini. Mi huwa ni mdhaifu sana kwa walimbwende wenye sura ya...
17 Reactions
133 Replies
13K Views
Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa. Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali. Huo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nauliza tu nisije nikafa ? Na upande upi una stamina kwa maana sisi wanume au upande wa wanauke ?
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mkee maana huu ndo muda sahihi Sifa za mke ninaemuhitaji 1)Maji ya kunde au mweupe 2)Sio lazima awe na ajira maana mimi ninayo ajira nzuri tu 3)Lazima awe...
3 Reactions
16 Replies
954 Views
Jumanne njema. Kipi bora? Kulia juu ya Range au juu ya baiskeli? Mapenzi ni kizungumkuti, na katika kizungumkuti hiki kuna usumbufu mwingi mno. Sasa si ni bora nisumbuliwe na mke tajiri kutoka...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
  • Closed
Tuanze kwenye urafiki hadi kufikia mpenzi (me) Sifa zangu; Jinsia: ke Umri: 27 Dini: mkristo Kabila: Nyakyusa (nimetaja kabila Ili msiokuwa interested muishie kusoma tu huu Uzi) Elimu: la saba...
21 Reactions
78 Replies
7K Views
Ndugu zangu. Kwa masikitiko makubwa natarajia kuanza rasmi kununua dada poa na yote haya nikutokana na zoezi langu la kupata mke kuniwia vigumu sana kwani hakuna mwanamke ninayekutana naye nakuwa...
14 Reactions
187 Replies
13K Views
1. Kuwa na kifua kipana cha kutunza SIRI za mambo yanayomuhusu na yasiyomuhusu. Wanawake tunakumbushana, Wanawake wengi wamezoea kuongea, hadi wanaona ni kawaida kuongea mambo yote wanayowahusu...
22 Reactions
134 Replies
6K Views
Habari wana JF, Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa. Mimi ni mwanaume mwenye umri...
1 Reactions
5 Replies
573 Views
Good evening wakurungwa. Ni muda sasa umepita tokea mzozo wa kataa ndoa, nadhani wale wanaokubaliana na ndoa hawakuwa na hoja zaidi ni hisia tu. Nikikumbuka moja ya hoja yao kuu ni kwamba wanaoa...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwanenu jambo si jambo sielewi kabisa. Mtaani kwangu kuna mambo nahisi hayajakaa sawa. Uchangamfu wa majirani sio huu ninaoujua, tunezoea kuchangamkiana katik salam na mambo mengine. Kwa kawaida...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…