Kwa taarifa yako Wanaume wa Kanda maalum ni zaidi ya wale wa Songea!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Wanaume wa Songea wamepewa sifa mbaya ya kupenda zaidi wanawake kuliko makabila mengine.

Nasema kwa dhati sifa hiyo siyo ya kweli hata kidogo na haiwastahili kabisa Ndugu zetu hao.

Kwa taarifa yako kupitia kwa mdau mmoja aliyefanya utafiti Mdogo amedai kuwa eti Wanaume wa Kanda maalumu ndiyo wanastahili sifa hiyo.

Lugha za kejeli au matusi au kashfa hazikubaliki hata kidogo kwenye mjadala huu mzito.


Karibuni tujadili
 
Tafuta Pesa Broo hii mada yako Haina Uhalisia wala Haiwezekani Kuiprove in any case...
 
Back
Top Bottom