Kwa sababu hizi, siwezi kuoa mke hohehahe

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Jumanne njema.

Kipi bora? Kulia juu ya Range au juu ya baiskeli? Mapenzi ni kizungumkuti, na katika kizungumkuti hiki kuna usumbufu mwingi mno. Sasa si ni bora nisumbuliwe na mke tajiri kutoka familia tajiri? Au kutoka royal family?

Kwanza mwanamke masikini/lalahoi/kutoka familia ya kawaida akileta jeuri unaweza hata kumpiga risasi ya kichwa au kumtilia sumu kwa sababu inaleta hasira mno. Unlike kwa mwanamke kutoka familia tajiri.

Mwanamke toka familia lalahoi/bangaizaji mara nyingi huwa much know. Sasa mimi na mtu much know ni sumu mno, so kuliko kuoa mtu insecured kutoka familia kajambanani, ni bora nioe huyu mwali kutoka moja ya familia 'royali' hapa nchini.

Nimeamua nijipe raha kwa kuoa mwanamke kutoka familia hohehahe, au ya kawaida, kwangu hapana kabisa. Nina sababu kadhaa kwenye hilo.

Wanawake kutoka familia hohehahe mostly wana roho mbaya mno. Si kosa lao, misoto na dhiki katika makuzi na maisha baada ya kukua kwa ujumla, yanaleta hiki kitu.

Nimeamua kuchagua kilicho bora. Narejelea kwenye vitabu vitakatifu.

Muhammad (SAW) hakuoa mlalahoi, Bi Aisha hakuwa mchovu.

Daudi alimuoa binti mfalme (Rais kwa sasa) safi kabisa aliyeitwa Mikali.

Suleiman ndiyo alifululiza kuoa kutoka kwenye products za royal families.

Musa nabii alioa binti safi kabsa kutoka wa tajiri mmoja wa mifugo mkubwa sana, aliyeitwa Yethro.

Yusufu alimuoa binti safi kabisa kutoka ukoo wa kifalme ulioheshimika sana.

Hao na wengine wengi, wake zao walitoka familia zenye HADHI, ikiwemo royal families, na familia za kitajiri.

Nilijifunza kitu kikubwa mno hapa. Siku zote wanawake masikini na kutoka famili masikini ni wenye roho mbaya. Na wanawake wengi wanatoka familia masikini au za kawaida, ambapo in either case, wote wana roho mbaya. Nimerejelea kwa hapa TZ kwa tafiti zisizo rasmi.

Hivyo, nami nina kila sababu ya kuoa mke kutoka familia tajiri ama ya kiuongozi. Nashukuru 99% mpango wangu ume tick.

Nyongeza ni kuwa, unaikwepa hata mikosi ya ajabu ajabu kwenye uzao wako. Unakaribisha baraka na heri kwa kuoa binti kutoka familia yenye hadhi.
 
Hivi unajua kwamba ukichapiwa mke kutoka familia 'royali' haiumi sana eeh? Ila mke umemtoa Uswekeni halafu uchapiwe, unaweza kuua mtu
Kama yule Said wa Mwanza aliyempiga mke wake risasi sijui 5 au 10 za kichwa.
Mwanamke kamsomesha, mkanunulia gari, kamjengea nyumba na mavitu vingine.
Alivyokumbuka gharama, hakujiuliza akamchapa risasi.
Nimekuelewa sana mkuu
 
Back
Top Bottom