Natafuta mke

setting

New Member
Oct 8, 2023
1
3
Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mkee maana huu ndo muda sahihi

Sifa za mke ninaemuhitaji

1)Maji ya kunde au mweupe
2)Sio lazima awe na ajira maana mimi ninayo ajira nzuri tu
3)Lazima awe muislamu
4)Apende masuala ya biashara na kujishughulisha
5)Akijua kusoma inatosha
6)Umri kuanzia miaka 35 kushuka chini

Sifa zangu

1)Mweusi
2)Ninaajira ya kudumu serikali na mfanyabiashara
3)Muislamu
4)Umri wa wangu 35
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom