Hivi kuna ndoa ambayo haiunganishwi na tendo la ndoa?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Tumezoea kuona au kusikia wanandoa wanapata matatizo au hitilafu za urijali au uanawake katika suala linaloathiri tendo la ndoa wakati washakua wazee au washaoana na wanawatoto wanabaki kuishi pamoja kwa kuvumiliana !

Lakin je Kuna ndoa zinafungwa ili hali mwanaume ni hanithi au mwanamke hana sehemu ya siri au yenye hitilafu?

Hili wazo limenijia baada ya kusikia kuna dada aliposwa na mume hanithi!

Nahii ikanipelekea kuhisi kua YA MKINI KUNA NDOA ZINAISHI HIVI TANGU MWANZO WA NDOA

Swali: Je kuna ndoa zinafungwa pasipo kuwa na tendo la ndoa tangia mwanzo??
IMG_0438.jpg
 
Attachments

  • IMG_8718.jpg
    IMG_8718.jpg
    35.7 KB · Views: 9
Nadhani zipo Ndoa za namna hiyo. Lakin ni chache mnoo yaani Kwa makadirio waweza kuta ktk ndoa 100,000 labda 1.

In FACT ni ngumu mno kusikia na kuconfirm furan ni hanithi seems wanaozaliwa na hio(impotence ) hali moj kwa moja Ni wachche Sana
 
Anaweza akaoa akiwa rijali kabisa akapata gonjwa au ajali akawa hawezi tena kufunction je mkewe amuache? Mambo mengine hubaki ni siri ya ndani kikubwa upendo na maelewano, kama huyo aliyeolewa na hanithi huenda ana enjoy kuchezewa kisimi na kulambwa kuliko hata sie tunaosimamiwa ukucha.
 
Tumezoea kuona au kusikia wanandoa wanapata matatizo au hitilafu za urijali au uanawake katika swala linaloathiri tendo la ndoa wakati washakua wazee au washaoana na wanawatoto wanabaki kuishi pamoja kwa kuvumiliana !
Lakin je Kuna ndoa zinafungwa ili hali mwanaume ni hanithi au mwanamke hana sehemu ya siri au yenye hitilafu??

Hili wazo limenijia baada ya kusikia kuna dada aliposwa na mume hanithi!!…
Nahii ikanipelekea kuhisi kua YA MKINI KUNA NDOA ZINAISHI HIVI TANGU MWANZO WA NDOA

Swali: Je kuna ndoa zinafungwa pasipo kuwa na tendo la ndoa tangia mwanzo??View attachment 2742879
Kwenye kanisa katoliki moja ya vizuizi vya ndoa ni uhanithi
 
Anaweza akaoa akiwa rijali kabisa akapata gonjwa au ajali akawa hawezi tena kufunction je mkewe amuache? Mambo mengine hubaki ni siri ya ndani kikubwa upendo na maelewano, kama huyo aliyeolewa na hanithi huenda ana enjoy kuchezewa kisimi na kulambwa kuliko hata sie tunaosimamiwa ukucha.
Mkuu,
Haya mambo magumu sana. Iwe ugonjwa katikati ya ndoa au niaje, hili jambo litaathiri sana ndoa. Mimi hata kuwaza sitaki.
 
Nadhani zipo Ndoa za namna hiyo. Lakin ni chache mnoo yaani Kwa makadirio waweza kuta ktk ndoa 100,000 labda 1.

In FACT ni ngumu mno kusikia na kuconfirm furan ni hanithi seems wanaozaliwa na hio(impotence ) hali moj kwa moja Ni wachche Sana

Kama hizo ndoa zipo msingi wa ndoa unakua n nn?? mapenzi yote isipokua ngono? au
 
Tumezoea kuona au kusikia wanandoa wanapata matatizo au hitilafu za urijali au uanawake katika suala linaloathiri tendo la ndoa wakati washakua wazee au washaoana na wanawatoto wanabaki kuishi pamoja kwa kuvumiliana !

Lakin je Kuna ndoa zinafungwa ili hali mwanaume ni hanithi au mwanamke hana sehemu ya siri au yenye hitilafu?

Hili wazo limenijia baada ya kusikia kuna dada aliposwa na mume hanithi!

Nahii ikanipelekea kuhisi kua YA MKINI KUNA NDOA ZINAISHI HIVI TANGU MWANZO WA NDOA

Swali: Je kuna ndoa zinafungwa pasipo kuwa na tendo la ndoa tangia mwanzo??View attachment 2742879
🤣🤣
 
hata katika kufunga ndoa, kuna ndoa inaweza kuwa batili, na ndoa batilifu. mojawapo ya sababu ya ndoa batilifu ni pale mwanaume anaposhindwa kufanya tendo la ndoa walau mara moja baada ya kufunga ndoa (siku ile ya ndoa). hapo ndoa inakuwa haijatimilizwa. hakuna ndoa bila tendo la ndoa, kinachobaki ni kuchukuliana tu mizigo. na hii haihalalishi uzinzi kwamba ukikosa tendo la ndoa ndani basi ukazini au uachane naye, nooo. wazinzi wote waasherati sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti.

muishi mkijua hili. tumebakiwa na muda mchache hapa duniani, dunia itaenda kuisha muda si mrefu, hukumu inayoijilia dunia hii ipo karibu sana, jiandaeni kutoa hesabu ya kila tulichokifanya hapa duniani, kwa matendo yenu na kwa talanta zile ambazo Mungu alituamini nazo kwamba tuzitumie kwenye ufalme wake sisi tukazitumia kwenye ufalme wa shetani. YESU ANAKUJA, YESU ANAKUJA, YESU ANAKUJA, TUJIWEKE TAYARI.

Ufunuo 22:12
inasema;

12 Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.

13 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.

14 Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.

15 Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.
 
Kwaiyo akishindwa siku ya kwanza afu aweze siku ya pili bado ndoa ni batili
 
Back
Top Bottom