Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jf.. Naanza kwa kusema , wanawake sisi wanaume tuna nia njema na nyie tunapenda tuwaoe na muwe wake zetu ila punguzeni basi mizinga na kujiona mnahaki ya kuhudumiwa ilihali hamjaolewa na...
8 Reactions
15 Replies
970 Views
Huyu ndugu ni moja kati ya ndugu walio zifumania pesa. Basi bana kutokana na pesa zake kuwa nyingi jeuri na ujuaji vikaongezeka na maneno na majigambo ikawa ndio sehemu yake ya maisha. Ila pamoja...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Bila shaka hawa wana mapenzi ya Kweli na hata Mungu ametusisitizia kuwajali wajane, kama kuna mjane asizidi miaka 40 namuomba inbox tujaliane, Mahusiano yakikaa vizuri awe tayari kupima Afya...
7 Reactions
12 Replies
847 Views
Sasa naelewa kwanini zamani wazee wetu walikuwa wanarudisha wake zao wakajifungulie nyumbani kwa wazazi wa mke baada ya kuwa wajawazito. Jamani mama vijacho wana visa kwa wiki ananuna hata mara...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Pale unapotaka kujua huyu niliye nae je ni muaminifu au ndio wale wale ili ujue unaishina mtu aina gani ili ujipange kisaikolojia kwa maana ukimjua utapunguza maumivu na mwisho ujiue andaa...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwenye pitapita zangu JF nikakutana na Uzi unaosema "kipi kilisababisha uachane na mwenza wako wa maisha". Aisee! Ukiusoma ule uzi utagundua kuwa watu wanao oa/kuolewa ni Option tu na sio kwamba...
17 Reactions
51 Replies
2K Views
Ambao mna uzoefu na watoto wa kike tunaomba mtupatie mwongozo. Ninashuhudia familia nyingi sana huku majengo mapya ushuwani, ukaribu uliopo kati ya baba na mtoto wa kike unakuwa wa kushtusha...
9 Reactions
12 Replies
936 Views
Hata kama wewe ni mkali na una mahasira hasira. Hii kitu ina raha yake, ukipiga uso unakuwa na furaha moja kwa moja. Watu wengi tulioko Bar tunafuraha sana kuliko watu walioko maeneo mengine...
31 Reactions
167 Replies
8K Views
Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka.. Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha... Katika utafutaji inaweza kuwa...
2 Reactions
13 Replies
984 Views
Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Baada ya kuwa na mahusiano na mwanmke flan kwa miaka mi 4, baadae akaja kubadilika baada ya kupata kazi, inshot mm ndio nilikuwa na muweka mjini, Nimtoa kjjn na kumeltaa, mjini nikamuandliaa...
18 Reactions
60 Replies
5K Views
Mapenzi ni sawa na maji ya mafuriko, Huwezi kuyazuia kwa mikono, Niliwahi kuumizwa sana na binti niliyempenda sana. Niliumia kwasababu ulifika wakati hawezi kuwa wangu tena kutokana na mazingira...
21 Reactions
245 Replies
12K Views
Je umewahi kufikiria kusingekuwapo UKIMWI na haya magonjwa ya ngono kama Gonorrhea na wenzake. Je maisha yangekuwaje?
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Sababu kubwa ni 2 tu. 1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi...
11 Reactions
39 Replies
5K Views
Habarini Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi. Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo...
7 Reactions
91 Replies
5K Views
Huyu mzazi anaharibia watoto wake uzao alianza binti mdogo akapata bwana wakawaida tu huyu mama akamfukuza basi akaletewa tajiri tena wamadini akamfukuza akisema amekuja kumtoa sadaka na familia...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Hasa kuhusu wanawake na sababu ya wanaume kufa mapema ..
3 Reactions
8 Replies
664 Views
Habari wadau. Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke. Masharti ni awe na asset net worth 150m. Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32. Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji...
29 Reactions
126 Replies
9K Views
Ndugu zangu Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma na rehema tunaomba utusamehe sisi wanadamu napia tunawaleta kwako ndugu zetu wa mkoani Manyara-Arusha wa kule hanang, Mungu endelea kuwa rehemu na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Natarajia kuvuta jiko mapema mwakani matarajio yangu ni kuwa na ndoa yenye furaha na ambayo kifo pekee kitatutenganisha sio jambo jepesi ila ndio mipango niliyojiwekea na mwenzangu. Sasa katika...
12 Reactions
120 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…