Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,076
- 859,172
Miaka ya 90 katikati kuna filamu fupi iliyoitwa 'Silent Scream' ilikuwa ya kutisha na kuzunisha mno, ilihusu utoaji mimba, ikionyesha wazi wazi mikasi, sindano na madawa vilivyokuwa vikiteketeza vichanga.
Ni uuaji wengi wameshiriki huu mchezo wa mauti hata humu jamvini wamo. Wengi hawataki kuzaa mapema wanakula ujana kwanza lakini wakati huo huo hawatumii kinga, wakija kunasa wanakimbilia kutoa.
Unatoa mimba zaidi ya tatu inafika mahali unapata mume muanzishe familia unataka kuzaa inashindikana, unaanza kuhangaika na hospitali, kwenye maombi mpaka kwenye mitishamba, inagoma.
Usitafute mchawi wale uliowaua ndio ulikuwa uzazi wako, majuto ni mjukuu mshukuru Mungu, Mwambie mwenzako ukweli maisha yasonge mbele.
NB: Wanaume ni chanzo cha aborting nyingi.