Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bonjour, I am looking for a serious man, in brief; I am a Lady Age & sex - F of 31 years old Marital status - Single and I have no kids yet Education level - Bachelor Degree and employed...
30 Reactions
251 Replies
17K Views
Kwanza ni rahisi sana kuvunjika, kuvumiliana ni zero, kusameheana ni finyu mno. Migogoro na mafarakano kwenye familia hayaishi. Visasi na vinyongo kama vyote. Ndoa nyingi ni kama uwanja...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukiona ndoa ya mtu inaharibika? Inapumua na gesi halafu mmoja anajifanya ndio eti anaonewa . Halafu anakuja kwako eti nataka tuwe marafiki baadae tuoane tupate watoto aisee kimbia futi elfu moja...
18 Reactions
77 Replies
3K Views
Yani wazuri ni wengi sana ila ndo pasua kichwa, hasa mjini, warembo kila kona lakini ni nightmare. Vijana watabisha
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwaka ndio huo unayoyoma shukrani kwa mwenyezi, ila na vimbwanga navyo havikosekani. Mwaka 2018 niliachana na wanawake wawili niliokuwa na mahusiano nao kipindi hiko, mmoja alipotea tu ghafla...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi mwanaume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako na isitoshe huchangii kodi? Tena unalala na kukoroma kabisaa? What if hapo analipa mwanaume mwenzako...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Natafuta mchumba/mwenza wa kike awe na umri miaka 25 kushuka chini awe dsm
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?
13 Reactions
170 Replies
13K Views
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake. Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu. Akawaambia, "nafikiri siwafahamu...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
Siku zote pesa inatakiwa ikupe mahitaji ya msingi, ndio maana tunatumia nguvu nyingi katika kuzitafuta. Tunaamini na imethibitika, hatuwezi kuishi miaka 150; mara nyingi tumezidi sana tena kwa...
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane...
16 Reactions
103 Replies
7K Views
sehemu ya 1 “hiyo mimba utailea mwenyewe…mimi sihitaji mtoto kwa sasa na hasa siwezi kuzaa na wewe” yalikuwa ni maneno ya Millard kwa Sarah. Millard na Sara ni waaafrika waliokutana Denmark kila...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu. Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi. Je ni wapi wanafundisha kozi hii na ni sh ngapi?
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu mmebarikiwa Mimi ni kijana wenu na rafiki yenu wa siku zote. Katika mihangaiko yangu ya kutafuta kiburudisho, juzi nimekutana na mwanamke pisi kali tukatongozana tukakubaliana safi. Sasa...
22 Reactions
65 Replies
5K Views
Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo). Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU...
0 Reactions
3 Replies
685 Views
Ego -when you will be driven by Ego either positive or negative you need to know you will sink on break up ,disappointment , Jealous and Etc Kill Ego ur Ego at any price the all Damn shit in...
7 Reactions
6 Replies
581 Views
Happy birthday kwako (kwangu) Msanii Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa...
21 Reactions
48 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…