Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani.
Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu...
Binafisi huwa najiuliza mwanaume unawezaje kutoboa miaka hadi 50 kwenye ndoa huna mtoto nje ya ndoa na hata mchepuko huna yaani niwewe na ulokole wewe na usabato bahati mbaya kabisa unakuta mke...
When it comes to relationship you don't get the woman you deserve. You get the woman you earn.
Twende sasa.
Wanaume wema, waelewa, wenye mioyo mizuri, nia njema na wanaoona uzuri tu kwa...
Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine...
Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia statusπππ
dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako ukoβ¦
Sasa nataka nilete tofauti ya wadada wa mjini na vijijini naanza na wa vijijini
1. wanapenda kupora vitu vya wanaume
2. wanapenda kwenda na wanaume zao sokoni wakichaguliwa vitu makasha n.k hua...
Wasalaam wakuu
Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;-...
Salaam wanabodi.
Tukielekea kuupokea Mwezi wa mapenzi, mwezi ambao mahusiano mengi huvunjika, mengine huanza, mengine hutetereka kutokana na Visa vya hapa na pale.
Sasa nimekutana na concept...
Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila...
Hi there..ππ
I was fierce warrior known as samurai trained to serve my Lord. As samurai I was required to be forever in The Master's service..Serving with cultivated the bushido codes of martial...
Hello thereππ
Vinchii caught a fine fat trout. His maiden gave him a name for his Misery, Does calls him You are Filthy- freaking sticking Animal.π’π’π’
After dwelling on this realm for many months...
Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda halafu yeye hana mpango na wewe. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae...
Kuishi na vijana wa balehe ni safari inayohitaji uelewa wa kina, subira, na hekima ya kipekee. Kipindi cha balehe ni hatua muhimu katika maisha ya binadamu, ambapo kijana hupitia mabadiliko...
Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe.
Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana
1.Tupewe attention na...
Hello guys naamini mko poa, poleni na majukumu ya hapa na pale,β¦ yakiwa yamebaki masaa kadhaa tuianze weekend nilihitaji tuzungumze hii issue japo kwa uchache, sijajua kama mshawahi kuidiscuss ila...