Ramtz Jr
JF-Expert Member
- Jun 18, 2026
- 264
- 517
Mpende akupendae akupendae asio kupenda achana nae kwanini ung'ang'anie mwanamke asiokupenda kudadadadeki!!! japo moyo unaopenda ila ukigungua hapa nimejichanganya kupendwa nisipopendwa jaribu ku move on kuliko kung'ng'ania mwisho ukawa mtumwa wake kwa 7bu anajua yeye ndo kila kitu kwako atakuendesha kama guta
nilipendaga nisipopendwa ila sasa nimefanikiwa ku mov on sasa naenjoy
MPENDE AKUPENDAE ASIOKUPENDA ACHANA NAE
by Ramtz Jr
nilipendaga nisipopendwa ila sasa nimefanikiwa ku mov on sasa naenjoy
MPENDE AKUPENDAE ASIOKUPENDA ACHANA NAE
by Ramtz Jr