Kwanini wanawake wengi hapa mjini Mahusiano yao ni yanazingatia pesa kwanza?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,584
8,605
Nimekuwa nikiwa katika mahusiano na risk tofauti lakini hakuna aliyekuwa afadhali!

Wanaamini wao ni wakuhudumiwa yeah ni wakuhudumiwa ila sasa wamezidi kutoka katika kuhudumiwa na kufanya fursa!

Pia kila mwanamke utakayemuona barabarani, ofisini nyumba hata za ibada wote hao wanamahusiano nje ya mahusiano waliyonayo! Very crazy thing!

Je, ni Hali mbaya ya uchumi au ni utandawazi maana hakuna anayejutia kuwa na mahusiano juu ya mahusiano! Na hata wale ambao ni decent wote lugha yao moja!

Maisha ya naenda Kasi sana ni wakati wakumrudia Mumba Hali siyo!
 
Mkuu hali si shwari hata kidogo, nipo early 30s ila sijampata mwanamke anaefaa kua mke. Hii imenifanya kila siku napoenda kazini nipatapo muda lazima nichombeze wasichana tofauti tofauti nikiamini ipo siku nitampata mwenye uafadhali kuliko wote. Enewei tusikate tamaa tuzidi kupambana, ila ule wimbo wa akina Marehemu Ngurumo na Tx Moshi (Ukizaliwa mwanaume kila kitu kwako itakua ni tabu) hawakukosea hata kidogo.
 
Unakutana na Mapaka Shume tu?
 
Nimekuwa nikiwa katika mahusiano na risk tofauti lakini hakuna aliyekuwa afadhali!

Wanaamini wao ni wakuhudumiwa yeah ni wakuhudumiwa ila sasa wamezidi kutoka katika kuhudumiwa na kufanya fursa!

Pia kila mwanamke utakayemuona barabarani, ofisini nyumba hata za ibada wote hao wanamahusiano nje ya mahusiano waliyonayo! Very crazy thing!

Je, ni Hali mbaya ya uchumi au ni utandawazi maana hakuna anayejutia kuwa na mahusiano juu ya mahusiano! Na hata wale ambao ni decent wote lugha yao moja!

Maisha ya naenda Kasi sana ni wakati wakumrudia Mumba Hali siyo!
Because love is an industry...
 
Back
Top Bottom