Nifanyeje kuepukana na hili?

Bongo senior

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
291
480
Habari za muda huu

Mimi ni kijana mwenye umri wa 30+ ni baba wa watoto wawili kila mmoja na mama yake. Kutokana na hali halisi ilivyo kwenye mahusiano watu hawana hofu kabisa kwenye kuumizana mioyo kiasi kibaya sana, ila kwangu ni tofauti sana ni muoga sana kumuumiza mtu hata nikifanya uwa najiona na hatia sana kinachonijia kichwani ni kuamini yatanirudia mimi na dunia yenyewe haina huruma hata chembe kitu kilichonifanya mpaka sasa kila mwanamke ninaemtongoza uwa naenda straight kumwambia nimemtamani tu kwa one night ili hata akija nikuta na mwingine hasije leta zogo wala kuhisi kutendwa namimi mwenyewe kuwa huru zaidi.

My point je hili la hofu naliepuka vipi je nachokiamini kina ukweli au mana watu wanaumizana mioyo kama wanagarantee ya kesho yao.
 
Habari za muda huu Mimi ni kijana mwenye umri wa 30+ ni baba wa watoto wawili kila mmoja na mama yake. Kutokana na hali halisi ilivyo kwenye mahusiano watu hawana hofu kabisa kwenye kuumizana mioyo kiasi kibaya sana, ila kwangu ni tofauti sana ni muoga sana kumuumiza mtu hata nikifanya uwa najiona na hatia sana kinachonijia kichwani ni kuamini yatanirudia mimi na dunia yenyewe haina huruma hata chembe kitu kilichonifanya mpaka sasa kila mwanamke ninaemtongoza uwa naenda straight kumwambia nimemtamani tu kwa one night ili hata akija nikuta na mwingine hasije leta zogo wala kuhisi kutendwa namimi mwenyewe kuwa huru zaidi. Je nachokiamini kina ukweli au mana watu wanaumizana mioyo kama wanagarantee ya kesho yao.
Leo kilio cha Single Father in another way
 
Sasa wewe wanawake hao wanaofake kupenda unadhani watashindwa kufake kuwa wameumizwa?
Mwanamke ambaye kila mukikutana hamuachani mpaka umpe nauli na pesa ya matumizi ukimwacha unamuumizaje?
Anayeweza kuumia ni yule anaweza kukupa mzigo hata siku 7 bila ya kupewa chochote na akaendelea kutamani kukuona.
Haya mapenzi wanayo hawa mabinti 18 -22 yrs. Akikubuhu tu kupokea mijegeje huyo ni mfanyabiashara.
 
Hata sielewi nikushauri nini,ila nimechagua kuwa kimya nikipitia tu comment
 
Una uhakika hujamuumiza mama mtoto wa kwanza?
Hapana tena kwa sasa kaolewa na tangu niwe sikuwahi chepuka wala kwake sijawahi ona tatizo la uchepukaji hata kidogo kuna kisa kingine ambacho kilisababisha tukatengana na hata yeye alipo olewa si salama ni story ingine ndefu ila kupitia yeye ndiyo nimejifunza wazazi hawaachani hata.
 
Jamaa mnafiki......anadai hapendi kuumiza wenzake kimapenzi huku ameshazalisha wanawake wawili na wote kawatelekeza
Si kila aliyezalisha nakutengana katelekeza hakuna anaependa kuzaa ovyo na kila mwanamke na watoto wangu wote ninao mwenyewe wanasoma pazuri na wanafuraha zaidi.
 
Back
Top Bottom