Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

Wanawake wa hivyo sijui mwisho wao ulikuwa mwaka gani.
Huyu wangu anajua Sina kazi lakini akija kwangu nikimpa hela anapokea huku anasikitika.
Ananiambia yaani unavyonipa hela na hali yako hyo nakuonea huruma huku anapokea
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio lkn kwasasa simshauri mtu afanye hivyo
2016 nilikutana na jamaa alikua anajitolea ofc flan analipwa tu kidogo mi nilikua na pharmacy yangu kubwa tu naishi
Nilikua nimepanga kiappartment kidogo yeye alikua chumba 1, kitanda fut 3 anakaa chini

Nikawa nae akipata hela namshaur nunua hiki hii weka,

Badae akapata kazi analipwa laki 6 kwao wanamtegemea, wadogo zake 2 awapeleke shule ...nikamshaur kila mwez awe ananipa laki 1 naweka kwenye AC namimi naweka laki 2 au 3..tukafungua ac ya familia tunapambana.

Akanilipia mahali tukaanza kuishi pamoja nikapamban mpaka tukanunua kiwanja ...tukajenga akapandishwa mshahara
Weee sasa HV jeur kibao hanishirikishi kipato chake tena.

Sijui anapanga na nan nashtuka kitu kimenunuliwa wanawake ndio usiseme
Tukikosana kidogo naambiwa unaweza kuchukua nguo zako ukatembea.

Inshort bora umkute mtu anavyo hawa wa kuanza chini ni konyo sana
 
Ndio lkn kwasasa simshauri mtu afanye hivyo
2016 nilikutana na jamaa alikua anajitolea ofc flan analipwa tu kidogo mi nilikua na pharmacy yangu kubwa tu naishi
Nilikua nimepanga kiappartment kidogo yeye alikua chumba 1, kitanda fut 3 anakaa chini
Nikawa nae akipata hela namshaur nunua hiki hii weka,,
Badae akapata kazi analipwa laki 6 kwao wanamtegemea, wadogo zake 2 awapeleke shule ...nikamshaur kila mwez awe ananipa laki 1 naweka kwenye AC namimi naweka laki 2 au 3..tukafungua ac ya familia tunapambana .,.
Akanilipia mahali tukaanza kuishi pamoja nikapamban mpaka tukanunua kiwanja ...tukajenga akapandishwa mshahara
Weee sasa HV jeur kibao hanishirikishi kipato chake tena
Sijui anapanga na nan nashtuka kitu kimenunuliwa wanawake ndio usiseme
Tukikosana kidogo naambiwa unaweza kuchukua nguo zako ukatembea...

Hivi viumbe hawakumbukagi wema wanaotendewa.
 
sio wote, huyo uliyenaye hiyo ndo tabia yake sema tu mwanzo hukuiona ilijificha kwenye kivuli cha umasikini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom