Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

STORY: MPAKA KIELEWEKE MTUNZI: NIRA SAIRE SEHEMU YA KWANZA Nilikuwa nimeongozana na mke wangu tukitokea dukani eneo lile la ugenini nikiwa busy kwenye simu yangu huku nikiongea na mke wangu...
15 Reactions
225 Replies
76K Views
Kipindi linatokea hilo tukio mimi nilikuwa ni mgeni kwenye hiyo mitaa kuna biashara yangu niliihamishia huo mtaa. Nyumba niliyokodi frem nilikuta yeye akiwa tayari anabiashara hapo, nilihamia...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa ma legend na watu ambao tuna experience na tendo la Ngono mnaweza kuungana na mimi kwenye hili. Kwa ufupi, nimejaribu taste za kila aina, wazungu, wabongo, wanyarwanda etc. Nilichogundua ni...
127 Reactions
276 Replies
16K Views
You need to be the right person first to get the right person Apart from that, what does it mean to be the right person? [emoji848] I'm sure there some people who are after the right person...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo. Utamsikia"Mimi nataka...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Aisee, dunia inakwenda kasi sana. Nakumbuka miaka ya 2010 to 2015, wimbi kubwa la wanawake liliifahamu pesa. Wajuba tukawa tunaponea kwa wake za watu na vitoto vya jamhuri (enzi hizo mafuta ya...
2 Reactions
3 Replies
445 Views
Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
9 Reactions
61 Replies
3K Views
Just imagine yeye amevaa kondom na wewe umevaa kondom, yaani ukiwa unaingiza hauhisi mtelezo wowote zaidi ya kuhangaika tu mpka majasho wazungu hawana hata dalili ya kuja. Plus staili ni moja tu...
43 Reactions
177 Replies
23K Views
Ukisikia janga juu ya janga ndio kama yaliyomkuta jamaa, yani kamfumania mpenzi wake na bado kaambiwa kuwa hapendwi aondoke.
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Mapenzi na mahusiano hayapo kabisa ,hata ndo za siku hizi hazidumu .ukiangalia wabibi na wababu wapo kwenye ndoa tokea na kabla ya uhuru ila ndoa za kuanzia miaka ya 90 zinamatatizo makubwa sana...
3 Reactions
2 Replies
485 Views
Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa, awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo. Umri wake usizidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana.
2 Reactions
158 Replies
5K Views
Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema. Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Naandika hapa huku machozi yakinitoka, nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda ntapata faraja. Ni wiki sasa nimejifungia ndani hata kazini siendi. Story iko hivi kwa kufupisha sana nisiwachoshe...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Sina maneno mengi bali; ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami. Sifa zangu. Umri :33yrs Elimu: Shahada Rangi: Mweusi Dini: Mkristo Kimo: 178cm Sifa za mke 1. Umri: 25...
1 Reactions
6 Replies
817 Views
Salam kwenu Wana JF, Kuna hii staili haramu wazungu wametuletea ya mwanamke kukaa juu ya mwanaume wakati wa kufanya mapenzi na kumfanya mwanaume. Maana yake ni kuwa umekiuka Sheria ya kwamba...
24 Reactions
128 Replies
12K Views
Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani. Yaani misimbazi 2 tu...
27 Reactions
55 Replies
6K Views
Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k Kwa sababu...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Mi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani. Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ikitokea mwanake akawa hakukubali na akaamua kukuchukia eeeh hatari sana. Bora ugombane na mwanaume ila sio mwanake, wanakuchukia hadi kwelikweli hawabakishi
1 Reactions
14 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…