Mwanamke kumfanya mwanaume ni laana

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,027
Salam kwenu Wana JF,

Kuna hii staili haramu wazungu wametuletea ya mwanamke kukaa juu ya mwanaume wakati wa kufanya mapenzi na kumfanya mwanaume.

Maana yake ni kuwa umekiuka Sheria ya kwamba mwanaume anatakiwa kuwa juu ya mwanamke katika Kila jambo Hadi sex.

Unapomruhusu au kumshinikiza mwanamke akufanye badala ya wewe kumfanya unajiletea laana na mikosi mwenyewe. Ni SAWA na unampa mwanamke taji lako.

Na shetani anaingilia upenyo huo huo kuharibu ndoa yenu sababu umeruhusu hii dhambi.

Lakini pia mwanamke ataacha kukuheshimu au atashindwa kukuheshimu hata kama kabla alikuwa anakuheshimu. Matatizo mengi kwenye ndoa yametokana na kufanya mapenzi Kwa staili za LAANA kama hizi.

Tubaki njia kuu missionary style ya mwanaume kuwa juu ya mwanamke wakati wa kufanya mapenzi ndiyo staili halali.
 
Back
Top Bottom