Mama Huruma wamekwisha kabisa nchini Tanzania

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Aisee, dunia inakwenda kasi sana. Nakumbuka miaka ya 2010 to 2015, wimbi kubwa la wanawake liliifahamu pesa. Wajuba tukawa tunaponea kwa wake za watu na vitoto vya jamhuri (enzi hizo mafuta ya Parachute hayajaanza kutengenezwa)

Nowdays wanawake wote nchini wameifahamu pesa. Si watoto, wala wazee. Inauma sana. Mama Huruma hakuna tena. Nowdays ni Nipe Nikupe. Yaani hata tule tubinti tudogo tudogo, kwa sasa tumekubuhu, huna pesa pita kule

Jijini Dar es salaam mambo yamepamba moto, yaani ukitaka uwe member wa kataa ndoa kwa lazima, njoo uishi Dsm. Mbususu zinachakatwa kwa pesa, siku hizi kutongoza katongoze mbuzi, ni mwendo wa sema una sh.ngapi kwa mwanamke yoyote yule, narudia, yoyote yule umtakaye

Ee Mola, wapi twaelekea?
 
Tunaelekea kwenye wanawake 7 kumfuata mwanaume mmoja huku wakim-ng'ang'ania tena wakijitapa kuwa watamuhudumia wenyewe🤔
 
Tunaelekea kwenye wanawake 7 kumfuata mwanaume mmoja huku wakim-ng'ang'ania tena wakijitapa kuwa watamuhudumia wenyewe🤔
Nawaambia vijana kila siku wajiongezee thamani itafika kipindi wanakusumbua na unafuta namba zao na wanakupigia na namba mpya. Unafuatwa na mtu na mdogo wake wote wanataka uwang'oe 😂 😂 😂 😂. Huo muda hauna jinsi kazi zilivyokubana halafu unakuja huku unakuta kijana anatafuta mke mitandaoni . Wakati wewe ukitaka kuoa unachagua tu kati ya hao wanaokusumbua. Nilivyokuwa mdogo sikuwahi kutegemea wanawake wanaweza kujishusha kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom