Natafuta mke

lamalu

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
611
766
Mi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani.

Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina mtoto, nimejiajiri, nipo Mwanza.

Aliye tayari aje tuyajenge.
 
Miaka 42 huna mtoto? Au nyie ndo wale mnaokataaga watoto? Natania, hongera Kwa kujitunza Kaka, Mungu akupe mke mwenye kheri.
Kuna changamoto sana binadamu tunapitia na kila mtu na mawazo yake,ila kwangu sijali kitu Mungu ndio kapanga hadi umri huu nisiwe na mtoto mkuu,katika maisha yangu sijawah hata kusingiziwa mtoto,narudia mkuu ni changamoto tu na hiyo hali nimeikubali,sioni tatizo sabab ni mpango wa Mungu na isitoshe sikuwahi kuoa hivyo kutokuwa na mtoto nafikiri ni sawa tu
 
Hongera Allah akupe kila lenye kheri

Ushauri umri wako 42 Mdogo Sana kwa Mwanaume ambaye yupo vizuri financially so usiseme mke yoyote waweza oa deu to ur Age as I told you Age it just a number

Ukitaka mke yoyote Kuna ngoma zimetembea kilometers nyingi
 
Miaka 42 huna mtoto? Au nyie ndo wale mnaokataaga watoto? Natania, hongera Kwa kujitunza Kaka, Mungu akupe mke mwenye kheri.

Wewe ndio wale mnawaza hivi
23 namaliza chuo
24 napata kazi
25-26 najenga jumba na ndinga
27-30 na biashara
31 naoa

Maisha unapanga na mungu anaamua, usitegemee kila mtu anapita mule unadhani.
 
Kuna changamoto sana binadamu tunapitia na kila mtu na mawazo yake,ila kwangu sijali kitu Mungu ndio kapanga hadi umri huu nisiwe na mtoto mkuu,katika maisha yangu sijawah hata kusingiziwa mtoto,narudia mkuu ni changamoto tu na hiyo hali nimeikubali,sioni tatizo sabab ni mpango wa Mungu na isitoshe sikuwahi kuoa hivyo kutokuwa na mtoto nafikiri ni sawa tu
 
Attachments

  • 1684568634103.png
    1684568634103.png
    25.5 KB · Views: 9
Mi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani.

Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina mtoto, nimejiajiri, nipo Mwanza.

Aliye tayari aje tuyajenge.
Vijana, Ni vyema mkataja km mmejiajiri vp mnamiliki nini nk(na iwe kweli ) km upo serious

Mabinti wanaotaka kuolewa wa sasa (wenye access na mtandao) hawataki mwanaume aliyepoteana...(uchumi dhaifu) ...labda u-search vijijini ndani ndani huko " hata hivyo ni risk kuoa mwanamke asiyejielewa.

Wale wa kuanza pamoja maisha kwa kulala kwenye mkeka hawawezi kuwepo JF.
 
Tupo bwana,..mbona mnatuchukulia hivuo jamani.
 
2015 ulitangaza kutafuta mke ukasema una miaka 32.

2018 ukatangaza kutafuta mke ukasema una miaka 40,

2023 ukarudi hapa hapa tena ukasema una miaka 42 unatafuta mke

Jf kuna vituko sana humu.

Natafuta mchumba

NATAFUTA MCHUMBA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom