Natafuta mke

Kaiddik

New Member
Nov 10, 2023
4
27
Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa, awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo.

Umri wake usizidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana.
 
FB_IMG_1703734587446.jpg


Miaka 60?

Si useme tu unatafuta wa kumfia 😊.... Wanawake watanichukia sababu wanapenda vibabu ili vikarithi mali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom