Habari wana MMU,
Leo si siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu wa kuongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema kabsa.
Mwenyezi Mungu awaomgezee wazazi wangu miaka mingi na heri...
1๐Je mwanamke wako ameanza kuwa na mitoko au safari kuliko ilivyokuwa huko nyuma??.
2๐Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni kuwa karibu na simu yake??
3๐Je kwa Sasa amekuwa active...
Habari za wakati wana jf.
Naomba ushauri wenu tafadhari.
Mimi ni kijana wa miaka 28, kwa sasa ninaishi dar, elimu yangu ni chuo kikuu, Nina kazi na kipato changu ni cha wastani.
Katika maisha...
Habari wana jf,
Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio...
Anadai anaona soni
Anataka taa zote za humu chumbani eti zizimwe
Ndio, zizimwe kabisa, tubaki kwenye giza tii ndo yeye avue nguo[emoji15]
Yani hata TV izimwe maana na yenyewe ina mwanga, na...
Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu . Sifa zake.
1. Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu.
2. Awe amemaliza la Saba au sekondari au chuo au chuo kikuu.
3. Awe amejiajiri mwenyewe...
Wasalaam jamani.
Kuna watu ambao mahusiano yao yametawaliwa na
"baby come back/baby please stay" miaka nenda rudi. Kuachana na kurudiana ni jambo la kawaida kwao maana kila mmoja anamjulia...
Na. John- Baptist Ngatunga
___________________________
Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa...
Mimi ni binti wa miaka 33, baada ya kumaliza chuo nimekua nikiishi kwa Kaka yangu huu ni mwaka wa kumi sasa. Mwanzo nilikua kawaida na wifi yangu, lakini baada ya muda nilijikuta tu na mchukia...
Nasikitika kulisema hili. Ila wanawake wa rafiki zangu ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi, sasa wanataka kimapenzi.
Wengi wamekuwa ni wapweke licha ya kwamba wanajimudu kiuchumi, wananiomba...
Utafiti unaonesha, mtu akifika kileleni, mwili wake unapatwa na Msukumo mkubwa wa damu hivyo sehemu zenye michubuko zinaweza kutoa damu.
Mfano.. kama unapiga maswaki na kutokwa na damu kwenye...
Kila siku utasikia wanawake hawapendani blah blah blah....kama wanaume mnapendana sana mbona kwenye "THREESOME" huwa haongezwi mwanaume???
๐๐๐
Just joking guys....juuuuuuuuust joking๐๐
On to...
Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje?
Kaa tayari upate
kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku...
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa.
Mimi nina miaka 36
Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu...
Habari wana JF humu ndani natumanini kila mmoja ni mzima wa afya kabisa
Bila kupoteza muda niiende moja kwa moja kwenye kisa changu cha kweli kilichonitokea na nitajitahidi sana kugusia mambo...
Wakuu nimekutana na hii habari njema kutoka kwa majirani zetu wa karibu kabisa
Hawa mila na tamaduni zao zingine si zinafanana tu na za kwetu hapa?
Tuna kitu cha kujifunza hapa.
*sosi...
Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi.
Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity.
Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua...
ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!!
Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa.
Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi...