Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 2,180
- 3,477
Habari za muda huu wakubwa!!.
Hivi siku ikitokea umelala na mke wako asubuhi, halafu ukasikia mlango umegongwa mkeo akaenda kuangalia ni nani alafu anarudi kwa upole na mahaba anakuambia baby kuna mgeni wako.
Unatoka na taulo lako kiunoni mkeo akiwa kwa nyuma, ile unatupa macho kwenye sofa paap ni mchepuko wako, halafu sura yake inaonesha kabisa kaja kwa Shari hakuna maelezo..
Vipi mdau utachukua uamuzi gani?