Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu poleni na mishe za hapa na pale. Sio mwandishi mzuri sana. Nimeona leo nishee nanyi kisa cha kumalizia chumba kimoja kwenye mjengo wangu mpya kumkimbia huyu singo mama. Mwaka jana mwezi wa...
23 Reactions
58 Replies
4K Views
Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata...
1 Reactions
8 Replies
892 Views
Nimefanya utafiti wa muda mrefu mno lkn bado nimeambulia patupu,nahitaji mawazo yenu ikiwezekana ya Yakitaalam zaidi/Yakitafiti. Eti ni kweli mwanamke akiolewa ili hali ametunza Usichana wake...
0 Reactions
168 Replies
70K Views
When it comes to love, everything else doesn’t matter. That’s why you can fall in love with a single mother. Since her good heart is everything you need, you don’t care even she already had...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama siku 5 zilizopita nilikuwa nachezwa na machale yaani jicho langu la kulia lilikuwa linanicheza kuashiria kwamba kuna balaa soon litanitokea! Nikawa naomba mwenyezi Mungu aniepushe! Juzi...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari ya jumapili. Jana tukiwa dinner na gurls, pamoja na rafiki wengine wa kiume,tulijikuta tumeingia katika mjadala juu ya maswala ya wanawake kuomba pesa wanaume na wanaume kutokupenda...
34 Reactions
59 Replies
7K Views
Sauti inatosha au iongezwe kidogo?
1 Reactions
5 Replies
503 Views
Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi. Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache. Ndugu zangu watano...
8 Reactions
14 Replies
942 Views
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona...
15 Reactions
115 Replies
5K Views
Nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c Hawa ni watu ambao nimekuwa kwa...
26 Reactions
196 Replies
35K Views
Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Kuna asilimia zaidi ya 90 kwamba mtoto wa kwanza sio wako. Sijui kama utanielewa lakini acha nikueleweshe.. Mwanamke anapofika miaka 25 kwenda juu huwa anatamani sana ndoa. Unaweza ukawa una date...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3 Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency Mwingine...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf. Kwa kweli ukosefu wa nguvu za kiume unasababishwa na wanawake wenyewe , ndugu nayasema haya kwasababu mimi ni muhanga mkubwa wa tukio la kuambiwa sina nguvu na wanawake kadhaa ili...
12 Reactions
61 Replies
4K Views
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi...
18 Reactions
228 Replies
28K Views
jitahidi sana kujizuia kumsomesha mchumba wako. Zingatia apo kwenye uchumba. Nachelea kusisitiza kukushauri kijana wa kike na wakiume, usithubutu kufanya hiyo kitu. Madhara yake ni mzigo mzito...
1 Reactions
11 Replies
793 Views
Ulikuwa wapi mbona ume chelewa??, I looked for you kila Kona ila siku ambulia kitu!!? I even asked majirani ila nao hawakuwa na jibu la kunipa, zaidi ya pole (damn). Sorry about that day, nawe...
17 Reactions
147 Replies
4K Views
Habari za wakati huu Nimeona nilete mada muhimu kama hii mezani kwani kutongoza ni point muhimu sana iwe kwa mwanaume na hata kwa mwanamke japo ni nadra kusikia mwanamke katongoza na wanaume...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Nina shangazi yangu hapa mjini Dar ambae anazaliwa tumbo moja na baba yangu mzazi, huwa naishi vizuri tu huyu naenda kwake mara kwa mara kumtembelea na hua mambo yangu yakiwa magumu au nikipata...
18 Reactions
47 Replies
7K Views
Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala, huwa wanatafuta mazoba ambayo...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom