Unawezaje kupata hisia za kunyandua asiye jishughulisha kwa lolote

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wana Jf.

Kwa kweli ukosefu wa nguvu za kiume unasababishwa na wanawake wenyewe , ndugu nayasema haya kwasababu mimi ni muhanga mkubwa wa tukio la kuambiwa sina nguvu na wanawake kadhaa ili hali nguvu ninazo za kutosha sana

Kwa kweli niliangukia katika wanawake wabovu sana kitandani , ndugu unakuta mtu ajishughulishi kivyovyote vile hata kukukumbatia mwanaume wake hawezi kabisa, mbaya zaidi analala tuu anakuambia endelea hivi hiz hisia zinatoka wapi jamani.

Mwanamke chapu anakuvulia , chapu anajiweka anakuambia baba fanya kazi yako, hivi kweli unaanzaje kufanya kazi ili hali hatahujaexperience mkono wa mwanamke au kiss kwenye ngozi yako.

Wanawake kama hampoteyari tuwanyandue kwanini mnakuja gheto na kama hujui jinsi ya kumuandaa mwanaume wako damu iflow kwanini hata usiingie google kucheck ujanja kama tuu kuuliza wanawake wenzako unaona aibu.

Kwanini usiwe mbunifu , kwanini unakaa kama gogo lililokatwa na kutelekezwa mwisho na kusahaulika porini ukisubiria kumtangaza mwezio hana nguvu za kiume au ni hanithi

Kwanini mnatutangaza hatuna nguvu ilihali mnakua kama mnatukomoa kitandani na kututelekeza , mwanamke wa baridi, usafi huwezi katika sekta muhimu hata mavazi muhimu na bado ujanja huna wa kuamsha kichwa cha chini maarufu kama mguu watatu wenye kichwa wazi

Je, nyie wenzangu mkikutana na mwanamke wa dizaini hii uwa mnafanyaje kupata hisia nao maana isije ikawa mimi ndiyo nakosea labda kuna fomula zake?
 
We kutangazwa umependa mwenyewe!ungemweleza Haya uliyoyaeleza hapa angekuelewa tu
Dada Joannah unawezaje kumueleza mtu ambaye ukiongea tuu anakukazia macho kama anataka kukupigia makelele ya kuitiwa mwizi huku ana susa na kukuambia fanya haraka . Si zaidi sana kutumia busara ukojoe hata kimoja kibishi then umwache akakutangaze vibaya?
 
Uko sehemu ambayo sio pahala pako, updated yr status, wacha kelele.
1. Kwamba, wewe ni msafi? unaanzaje kuwa na mtu mchafu chafu? Hanyowi hata zivu?

2: kwamba sio mbunifu? Mmmh wewe umefanya nini ili umfundishe ujanja?

Ndege wafananao...............

Ndugu ji updated kwanza hizo kerooooo, hutokutana nazo.

Kula kitu moyo unapenda, akija mchafu mwambie hatuwezi lala wote katika mazingira hayo, kwanza jisafishe. Genye zisikufanye uinyime nafasi yako furaha

Kuhusu kuwa gogo hapa kuna mawili, inawezekana hakupendi yuko hapo kwako kwa sababu fulani, au una kitu ambacho hakipendi kwako.

Anyway mahusiano mema wakaka wazuri wa humu.

Nawakumbusha msiwe wabahili, Mungu hapendi.
 
Back
Top Bottom