Wazo la leo: Kuna uwezekano mkubwa mtoto wa kwanza sio wako

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,254
34,205
Kuna asilimia zaidi ya 90 kwamba mtoto wa kwanza sio wako. Sijui kama utanielewa lakini acha nikueleweshe..

Mwanamke anapofika miaka 25 kwenda juu huwa anatamani sana ndoa. Unaweza ukawa una date nae kumbe mko kama wanne hivi na muda huo huo analala na nyie wote. Sasa anachofanya anaangalia nani yuko "serious" zaidi katika kumpatia ndoa.

Sasa kuna mambo matatu yanaweza tokea:-

Scenario 1: Anapata mimba alafu hajui nani kati yenu wanu wanne aliyempa na hapa atachofanya ataangalia nani anaeleweka eleweka alafu anambambikia mimba!

Na ukishaambiwa ana mimba yako kwa sababu unamuamini (maana hujui kama mko wanne) utatangaza ndoa utamuweka ndani! Mwisho wa siku anazaa mtoto wewe unajua ni wako kumbe sio wako!

Scenario 2: Kati ya nyie wanne anao wadate anajua kabisa mwanaume wa pili ndiye kampa mimba ila mwanaume wa pili anakua hasomeki someki basi kwa sababu wewe ndiye unasomeka someka basi anakubambikia mimba! Na wewe kwa kutojua unajikuta umetangaza ndoa!

Scenario 3: Anaamua kuolewa na wewe "kwa sababu uko tayari kumuoa" (na sio kwasababu anakupenda) ila kwasababu bado anampenda ex wake anaamua kumzalia. Na wewe baada ya kuona mke ana mimba unaenda kanisani kutoa sadaka bila kujua mimba ni ya ex wake!
 
Cha muhim familia unayotoka iwe na distingishin feature kama pua kubwa n.k.
Wa kwangu tumefanana hadi hairline, na mama yake hua anasema "mmefanana kama vile ulitaka kukataa hii mimba.
 
Ndio maana ukitaka mlevi aendelee kukununulia pombe, mwambie amefanana Sana na yule mtoto wake wa kwanza. Kama Ni wa kiume ndio utakua umemaliza.
 
Back
Top Bottom